Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
JINSI YA KUJIUNGA NA 1XBET TANZANIA
1xBet ni kampuni ya mikeka ambayo ni bora na iliyokidhi vigezo vya kimataifa katika sekta hii ya mikeka. Kampuni wanakupatia huduma bora na kukupatia michezo mingi ambayo inakufanya uwe na uchaguzi mkubwa unapokuwa unaweka mikeka yako. Pia 1xBet wanakuwezesha kushinda pesa zaidi hata ya shilingi milioni mia moja katika tiketi moja utakayoweka na pia wanazo njia nyingi zaidi ya 50 za kuweka na kutoa pesa katika akaunti yako. 1xBet wanatoa huduma kwa haraka na zilizo bora. Wakubet baada ya kuifanyia utafiti na uchambuzi imeweza kuridhika na 1xBet na kukuambia wewe mdau wa mikeka kwamba hii ndio kampuni tulikuwa tunaisubiri na inayokufaa. Fuata maelekezo hapa chini uweze kujiunga na 1XBet na ufurahie mchezo huu.
HATUA YA 1
Ingia katika tovuti ya 1XBet kwa kubofya HAPA1XBet.com na kisha bofya sehemu iliyoandikwa registration
HATUA YA 2
Baada ya kuwa umebofya registration itakuletea njia mbalimbali za kufanya usajili ambazo ni:
One Click
By phone number (kwa namba ya simu)
By E-mail (kwa barua pepe)
Social network (mitandao ya kijamii)
Chagua njia unaoona kwa kwako ni rahisi. Na endapo utatumia njia ya simu (by phone number) hakikisha unatumia namba ya vodacom au airtel ambayo ndiyo utakuwa ukitumia kuweka na kutoa pesa. Na endapo utatumia njia hii taarifa na neno siri (password vitatumwa kwenye simu yako) kumbuka sehemu ya promo code kuweka namba hizi 1x_12702
Njia nzuri ambayo tunapendekeza uweze kutumia kujiunga ni njia ya e-mail ambapo baada ya kuwa umebofya sehemu ya e-mail itakuletea fomu ambayo utajaza taarifa zako na sehemu ya promo code andika namba 1x_17256 na namba hii inatumika kama promo code kwa usajili wowote utakaochagua.
Baada ya kuwa umejaza taarifa zako bofya sehemu iliondikwa register kisha utatumiwa link katika email yako uliyotumia kujisajili ambapo utatakiwa kuingia kwenye email yako na kuibofya hiyo link kuifanya akaunti yako iwe tayari kutumika na baada ya hapo tayari utakuwa umeweza kujiunga na 1xBet.
JINSI YA KUWEKA PESA KWENYE AKAUNTI YAKO YA 1XBET
Baada ya kuwa tayari umekwishajiunga na 1xBet ili kuweka pesa katika akaunti yako unatakiwa kubofya sehemu iliyoandikwa My account kisha utabofya sehemu iliyoandikwa Deposit.
Baada ya kuwa umebofya Deposit utabofya sehemu iliyoandikwa mobile payments kisha utaona njia tatu za kuweka pesa katika akaunti yako ambayo ni Airtel Money, Tigo Pesa na Vodacom M-Pesa
Baada ya hapo utachagua njia utakayotumia kati ya hizo mbili na utatumia namba ambayo umetumia kujisajili 1xBet. Kwa mfano endapo utachagua Airtel Money basi utaweka kiwango unachotaka kuweka katika akaunti yako kwa mfumo wa shilingi na senti (kwa mfano unataka kuweka shilingi elfu ishirini basi unapaswa kuweka20000.00) kisha utaweka namba yako ya Airtel ambayo umetumia kujisajili 1xBet kisha utabofya confirm.
Baada ya hapo utatumiwa ujumbe kwenye simu yako ukikuelekeza namna ya kuweka pesa katika akaunti yako. Maelekezo haya ni kwa njia ya Vodacom M-Pesa na Tigo Pesa pia. Ukiishaweka pesa yako muda huo huo utaiona katika akaunti yako na utaanza kuweka mikeka yako ukifurahia huduma za 1XBet.
Jinsi ya kutoa pesa zako katika akaunti ya yako baada ya kwenda kwenye My account utachagua Withdrawal na utachagua mobile payments kisha utachagua kati ya Airtel Money, Tigo Pesa na Vodacom M-Pesa.
Mballi na njia hizo mbili unaweza ukatumia njia nyingine zozote kwa kadiri uwezavyo kama zilivyoainishwa katika tovuti ya 1xBet.
JINSI YA KUWEKA PESA KUPITIA AIRTEL MONEY, VODACOM M-PESA NA TIGO PESA KUPITIA DUSU PAY
Endapo kama umechagua kuweka pesa kwenye akaunti yako ya 1xBet kupitia mobile payment na ikakutelea sehemu ya kuweka pesa tu pasipo kuonyesha sehemu ya kuweka namba yako ya simu kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini basi utafuata hatua zifuatazo kukamilisha muamala wako.
Utaweka kiasi cha pesa unachotaka kuweka kisha utabofya confirm na itakuletea kama inavyoonekana hapa chini
Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Fundi aelezea changamoto utengenezwaji Jeneza la Maria na Consolata
Leo June 5, 2018 tunayo story kutokea mkoani Iringa ambapo jeneza litakalotumika katika mazishi ya Mapacha maarufu walioungana Maria na Consolata ambapo wanatarajiwa kuzikwa kesho kwenye kaburi moja.
Zahara Omary ni Mkurugenzi wa Kiwanda cha Mandela, anaelezea utengenezaji wa jeneza litakalohifadhi miili ya Mapacha walioungana Maria na Consolata.
Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Mzazi mwenzie na Shilole afariki dunia
Mzazi mwenzie na Shilole, Elias Makala ambaye wamepata bahati ya kuzaa naye mtoto wake wa kwanza amefariki dunia ghafla huko Igunga mkoani Tabora.
Shilole na marehemu Elias
Shilole amethibitisha taarifa hizo kwa kusema kuwa mzazi mwenzie amefariki ghafla baada ya kutoka kwenye starehe usiku wa kuamkia leo ambapo amekiri kuwa alikuwa haugui.
Shilole amesema kuwa marehemu alikuwa mzima wa afya na mara ya mwisho kuwasiliana naye ilikuwa ni miezi miwili iliyopita.
Marehemu Elias na Shilole wamefanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike aitwaje Joyce Godfrey (14) ambaye pia ndio mtoto wa kwanza wa Shilole .
Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
BODI YA MIKOPO YASITISHA MIKOPO KWA WANAFUNZI WA DIPLOMA
June 3, 2018
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu, Abdul-Razaq Badru.
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inapenda kuutaarifu umma kuwa imesitisha mpango wa kutoa mikopo kwa wanafunzi wanaosoma stashahada (Diploma) kuanzia mwaka wa masomo 2018/2019 kama ilivyotangaza awali.
Itakumbukwa kuwa tarehe 10 Mei mwaka huu, HESLB ilitoa mwongozo unaosimamia utoaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2018/2019. Mwongozo huo, pamoja na mambo mengine, unaeleza kuwa HESLB itaanza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa stashahada na kuwa mwongozo kuhusu utaratibu wa kuomba mikopo hiyo ya wanafunzi wa stashahada ungetolewa baadae.
Hatua hii imechukuliwa ili kuhakikisha kuwa kiasi chote cha TZS 427.5 bilioni zilizotengwa kwa ajili ya mikopo ya wanafunzi kwa mwaka 2018/2019 zinaelekezwa kwa wanafunzi wenye mikopo hivi sasa na waombaji wapya wahitaji ambao wana sifa za kujiunga na kozi za shahada tu ambao ndiyo walengwa wakuu.
Hivyo basi, tunatoa wito kwa wanafuzi wote wenye sifa za kujiunga na masomo ya shahada katika taasisi za elimu ya juu na ambao ni wahitaji wa mikopo kuhakikisha wanasoma kwa makini mwongozo wa utoaji mikopo na kuuzingatia.
Kwa takwimu za mwaka 2017/2018, takribani maombi 10,027 ya mikopo yaliyowasilishwa Bodi ya Mikopo yalikuwa na upungufu kama vile kutosainiwa, kutokuwa na viambatanisho sahihi n.k.
HESLB ilianzishwa kwa mujibu wa sheria mwaka 2004 na kuanza kazi rasmi mwezi Julai, 2005 ili kutoa mikopo kwa wanafunzi wahitaji na pia kukusanya mikopo iliyoiva kutoka kwa wanufaika.
Imetolewa na:
Abdul-Razaq Badru
Mkurugenzi Mtendaji
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu
DAR ES SALAAM
Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
AFARIKI, AZIKWA, ARUDI NYUMBANI
ARUSHA: Hali ya taharuki imewakumba wakazi wa Kijiji cha Leto-Mamsera, Kata ya Makidi, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro kufuatia tukio la mkazi mmoja wa eneo hilo aliyekuwa amefariki dunia miezi miwili iliyopita kuibuka ghafla nyumbani kwake ikielezwa kuwa amefufuka. Hizi APA kurasa za magazeti juni moja 2018
Marehemu huyo aliyetajwa kwa jina la Richard David Tarimo (28) alifariki kifo cha kutatanisha Machi 30, mwaka huu baada kula nyama aliyoletewa na ndugu yake mmoja na baadaye kuanza kujisikia vibaya na kufariki dunia ghafla wakati akikimbizwa hospitalini kwa matibabu.
MSIKIE MKEWE
Mke wa marehemu aitwaye Mary Richard alieleza kuwa siku ya mazishi ya mumewe huyo kuliibuka jambo la kushangaza kutokana na udongo uliochimbwa kwenye kaburi hilo kutotosha baada ya kulifukia.
Kutokana na hali hiyo, padri aliyekuwa akiongoza misa ya kumwombea marehemu wakati wa mazishi hayo, alihoji kwa nini kaburi halijai udongo ndipo baadhi ya waombolezaji walipomjibu kuwa haliwezi kujaa kwa sababu marehemu amechukuliwa kimazingara.
Mke huyo alisema wiki mbili baada ya marehemu kuzikwa amekuwa akimtokea mkewe barabarani mara kwa mara na kumtaka afunge Novena kwa siku tisa kwani huko aliko anateseka.
Mary alisema kuwa Mei 20, mwaka huu marehemu mumewe aliibuka ghafla ‘laivu’ nyumbani kwake, jambo lililomshangaza na watu wengine kupigwa butwaa baada ya kudaiwa kufufuka.
“Niliamua kufunga Novena na baada ya kumaliza mfungo wa siku tisa ndipo ghafla akatokea mchungaji mmoja ambaye sikuwa namfahamu na kunieleza kuwa marehemu mume wako atarejea.
“Siku iliyofuata marehemu mume wangu aliibuka nyumbani kwangu lakini hakuwa anaongea chochote, alikuwa hajitambui ndipo watu wengi wakiwemo majirani walipojitokeza na kuanza kumshangaa huku wengine wakitaka kumgusa kuona kama kweli alikuwa ni binadamu wa kawaida,” alisema Mary.
TAHARUKI KWA WANANCHI
Hata hivyo, hali ya taharuki iliibuka nyumbani hapo baada ya wananchi kutaka atolewe nje wamwangalie, jambo lililowalazimu wachungaji walioitwa eneo hilo kwa ajili ya kumuombea, kuondoka na mume huyo wa mtu aliyefufuka ambapo alienda kuhifadhiwa nyumbani kwa wachungaji kwa ajili ya maombezi.
Mei 22 mwaka huu, ndipo Richard alipofika nyumbani hapo akiwa anaongea na kumuuliza mkewe hali ya watoto wake na kutaka abandikiwe maji ya kuoga.
Hata hivyo, mkewe alimpatia chakula na alipomaliza kula alipelekewa maji na kuoga na baadaye jioni majira ya saa 10 alitoweka nyumbani katika mazingira ya utata bila kuaga.
“Mei 22 mwaka huu, mume wangu alikuja na kuniuliza hali ya mtoto wake nilimjibu hajambo akaomba nimbandikie maji ya kuoga, nilimpatia chakula kwanza kisha akaenda kuoga na alipomaliza kuoga alivaa nguo zake akatoweka. Lakini baadaye nikaambiwa amerudi kule kwa wachungaji,’’ alisema Mary.
Mamia ya wakazi wa kijiji hicho waliokuwa wamefurika nyumbani kwa marehemu walilizingira kaburi la lake wakitaka lifukuliwe ili waangalie walichozika baada ya marehemu kuonekana akiwa hai ndani ya miezi miwili.
Hata hivyo, hadi mwandishi wetu anaondoka eneo la tukio, wananchi hao hawakufukua kaburi hilo kwa kile kilichoelezwa kuwa hadi wapate kibali cha mahakama.
BABA MZAZI ANASEMAJE?
Baba mzazi wa kijana aliyefufuka, mzee David Kimario ameshangazwa na kurejea kwa mwanaye nyumbani baada ya kudaiwa kufufuka kwani alikufa na wakamzika lakini alisema amefurahi kumpata tena kijana wake kwa sababu kifo chake kilikuwa cha utata na kilitokea ghafla.
“Ninachotaka kujua kwa sasa ni kwamba mwanangu alikuwa wapi na alikuwa akifanya nini na kwenye kaburi tulizika nini?” alihoji mzee Kimario.
Habari zilizotufikia wakati tunakwenda mitamboni zinasema Richard sasa hivi karejea nyumbani kwake na yupo vizuri.
MKUU WA WILAYA ANENA
Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Agness Hokororo akizungumzia suala hilo amesema kwamba mara baada ya kulisikia tukio hilo aliamua kutuma kamati yake ya ulinzi na usalama ya wilaya kwenda eneo hilo.
“Kamati ilifika na kukuta umati uliokuwa na shauku ya kumwona marehemu aliyefufuka,” alis
Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Bado Lulu ‘anamchanganya’ Bahati kutoka Kenya
1
Kitendo cha Elizabeth Michael ‘Lulu’ kumuweka msanii Bahati kutokea Kenya hotelini kinyume na makubaliano yao, bado hakimtoki kichwani muimbaji huo wa gospel.
Kwa mujibu wa Bahari mwaka 2016 alikuja Tanzania kwa ajili ya kufanya video ya wimbo wake ‘Maria’ na alipanga kumtumia Lulu kama video vixen, hata hivyo mrembo huyo hakutokea katika kikao walichopanga kingefanyika hotelini.
Kwa sasa Bahati amerudi tena Tanzania kwa ajili ya kufanya kazi na msanii wa WCB, Mbosso, hata hivyo bado anakumbuka alichofanyiwa na Lulu.
“Ilikuwa meeting ya video vixen, kama alinifanyia hivyo je anayempenda inakuwaje?, na mimi nilikuwa nimeweka shilingi kidogo, naongea kwa uchungu,” amesema Bahati hapo jana mara alipowasili Bongo.
Soma Pia; Bahati asimulia kilichomtokea kwa Lulu
Hata hivyo baada ya kutompata Lulu, Bahati alikuja kufanya video hiyo na Jokate Mwegelo.
Kabla ya tukio hilo kutokea, hapo awali muimbaji huyo aliwahi kueleza hisia zake kwa Lulu kupitia vyombo vya habari kwa kueleza kuwa iwapo atampata mrembo huyo atakuwa ametulia kabisa.
Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
STORIES BREAKING: Huyu ndie Katibu Mkuu Mpya wa CCM Taifa
Leo May 29, 2018 Dkt. Bashiru Ali Kakurwa ndiye aliyechaguliwa kuwa Katibu Mkuu Mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo alipendekezwa na kupitishwa na wajumbe wote waliohudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa NEC Ikulu jijini DSM.
Hii ni baada ya Aliyekuwa Katibu Mkuu Kinana kuomba kujiuzulu na kukubaliwa na Rais Magufuli ambaye ni Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa.
Imethibitishwa katika taarifa ya kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) iliyoketi tarehe 28-29 May 2018 Jijini Dar es Salaam.
Dkt. Bashiru Ally alikuwa Mwenyekiti wa kamati iliyoundwa na Rais Magufuli kufanya Uhakiki wa mali za Chama cha Mapinduzi CCM.
Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
kijana Teunis Tenbrook raia wa Uholanzi amefukuzwa katika chuo kikuu cha Erasmus cha jijini Rotterdam cha nchini humo kwa sababu ya kunuka miguu sana.
Baadhi ya wafanyakazi wa maktaba ya chuo hicho wamesema kuwa wamekuwa wakipata shida sana kufanya kazi kwa sababu kijana huyo miguu yake inatoa harufu mbaya mno hadi wanashindwa kutimiza majukumu yao.
Hata hivyo mwanachuo huyo anayesomea shahada ya falsafa amekishtaki chuo hicho na kushinda kesi hiyo huku Jaji aliyesikiliza kesi akiamuru kuwa wafanyakazi wa chuo hicho inawabidi “wazibe pua zao ili wasinuse harufu hiyo”.
Aidha tatizo la kunuka miguu imeripoitwa kuwasumbua wanafunzi wengi vijana.
Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Lulu Diva amefunguka ukweli wa taarifa za kumzalia mtoto Rich Mavoko mwaka huu.
Muimbaji huyo amesema taarifa hizo si za kweli ila anahitaji atapokuwa tayari kufanya hivyo awe na muda wa kutosha tofauti na sasa ambapo muziki umemtinga.
“Ni ungo bwana!, nahitaji mtoto wangu ambaye nitazaa apate time yangu na pia baba mtoto awe tayari,” Lulu Diva ameiambia Uhondo, E FM.
Alipoulizwa kuhusu kuolewa, alijibu; ‘Soon naolewa lakini bado after miaka mitatu’.
Katika hatua nyingine amekana kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Rich Mavoko, huku Mavoko naye akieleza kuwa na mahusiano yake ambayo yamempatia watoto wawili.
Lulu Diva na Rich Mavoko kwa sasa wanafanya vizuri na ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la Ona.
Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Champions League itakuwa kati ya timu ambazo zimefunga mabao mengi zaidi msimu huu huku washambuliaji bora zaidi duniani wakikutana.
Real Madrid wanatafuta ushindi wa 13 na wa tatu mfulizo huku Liverpool wakiweza kupanda juu ya Bayern Munich na Barcelona nyuma na AC Milan katika orodha ya vilabu vilivyopata ushindi mara nyingi zaidi katika European Cup na Champions League ikiwa wataibuka washindi huko Kiev.
Milner anaweza kuwa na umuhimu usiotarajiwa Kiev?
Zikiwa zimefunga zaidi ya mabao 90 kwenye mashindano yote msimu huu ni wazi kuwa fainali hii itakuwa kama vita kati ya Cristiano Ronaldo wa Real Madrid na Mohamed Salah wa Liverpool.
Wote wako mbioni kun'gang'ania tuzo la Ballon d'Or mwishoni mwaka 2018, lakini pia kuna mwanamume ambaye bila kutarajiwa huenda akawa mwenye umuhimu mkubwa huko Kiev.
James Milner alionyesha ubabe wakati wa nusu fainali dhidi ya Roma wakati alifikisha mchango wake muhimu katika mechi hadi mara 8 msimu huu na kusawazisha rekodi iliyowekwa na Neymar mwaka 2016-17.
Ni nani anakumbwa na harati zaidi katika safu ya ulinzi?
Wakati wa kuanza kwa msimu kulikuwa na shaka kuhusu safu ya ulinzi ya Liverpool, lakini kufuatia kuwasili kwa Virgil van Dijk mwezi Januari na kuimarika kwa kipa Loris Karius inaamaanisha kuwa tena hakuna udhaifu.
Kwa Real ni kitu tofauti. Walikosa mchango wake Sergio Ramos wakati wa duru ya pili ya mechi kati yao na Juventus.
Liverpool nao wana matatizo yao, wameshindwa mara 13 kwenye Champions League ikiwemo mara sita dhidi ya Roma na sare yao ya mwisho.
Lakini kikosi hicho cha Jurgen Klopp kimeshinda mara sita mfululizo msimu huu rekodi iliyowekwa na Barcelona.
Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshirikisha mwenzako