Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Matokeo Kakamega homeboyz vs Singida United 10 June 2018
Matokeo Kakamega homeboyz vs Singida United 10 June 2018
Matokeo Mchezo wa kutafuta Mshindi wa 3 katika uwanja wa Afraha kati ya Singida United na Kakamega Homeboys
KK Homeboyz 0 – 0 Singida United
Dakika ya 3 Opondo anaitanguzila Kakamega Homeboyz kwa bao la Kwanza
KK Homeboyz 1 – 0 Singida United
Dakika 10
KK Homeboyz 1 – 0 Singida (3′ Opondo)
Dakika ya 15 Singida United wanajaribu kutengeneza Mipango lakini Wanapoupata Kakamega Homeboyz wao wamekuwa watu wa Kucheza kwa Kasi Tu, 1 – 0
Dakika ya 17 Kakamega wanafanya shambulizi la Hatari, Shujaa anakuwa Kennedy Juma anaokoa mpira na Kuwa Kona
Dakika 20 katika uwanja wa Afraha Nakuru, Matokeo bado ni 1 kwa Kakamega Homeboyz na 0 kwa Singida United
Dakika ya 23 KK Homeboyz wanawakosa Singida bao jingine.
Dakika ya 27 Danny lyanga anachezewa Faulo, Free Kick
Inapigwa inakosa madhara kwa Kakamega
Dakika ya 35 Manyika Jr anaokoa mpira hatari wa adhabu uliopigwa langoni mwa Singida, Kakamega 1 – 0 Singida
HALF TIME
Kakamega Homeboyz 1 – 0 Singida United (3′ Opondo)
KIPINDI CHA PILI
Dakika ya 56 Maliki Antiri anapewa kadi ya njano kwa kumcezea vibaya Mudavadi
Kakamega 1 – 0 Singida United
Goaaaaaaaaal Dakika ya 60 Danny Lyanga anaipatia Singida Bao la Kusawazisha
Kakamega Homeboys 1 – 1 Singida United
Dakika ya 75
Kakamega Homeboys 1 – 1 Singida United
Dakika ya 80
Kakamega Homeboys 1 – 1 Singida United
DAKIKA 90 ZIMEISHA
Kakamega Homeboys 1 – 1 Singida United (Opondo, Danny Lyanga)
Zinafata Penati
Deus Kaseke anafunga Penati ya kwanza Singida
Mukhaya anakosa penati upande wa KK Homeboys, Anapiga Juu
KK Homeboys 0 – 1 Singida United
Miraji Adam anafunga penati kwa Singida United
Kisuya wa KK Homeboys anakosa, Manyika anaicheza
KK Homeboys 0 – 2 Singida United
Shafiq Batambuze anafunga penati ya 3 ya Singida United
Wafula wa KK Homeboys anafunga PENATI
KK hOMEBOYZ 1 – 3 Singida United
Danny Lyanga anafunga Penati ya 4 kwa Upande wa Singida United, Singida washindi wa Tatu wa Sportpesa Super Cup
FULL TIME
KK Homeboyz 1 – 4 Singida United
prop
Sunday, 10 June 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment