TUMUSIFU BWANA

prop

Sunday, 10 June 2018

June 10, 2018

Julio: Alikiba Anaweza Kucheza hata Ulaya

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.


KOCHA wa Dodoma FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ameweka wazi kuwa msa­nii wa Bongo Fleva nchini, Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’ ni mchezaji mwenye uwezo wa kucheza Ligi Kuu Bara, na kama aki­andaliwa vizuri anaweza kucheza hata Ulaya.


Julio ameyasema hayo akiwa kocha wa Team Sa­matta mara baada ya kum­alizika kwa mchezo maalum wa kuchangia elimu ulio­andaliwa na msanii huyo akishirikiana na Mbwana Samatta anayecheza soka la kulipwa katika Klabu ya Genk nchini Ubelgiji. Katika mchezo huo uliopigwa juzi Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar, Team Samatta iliibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Team Kiba.


Akizungumza na Champi­oni Jumatatu, Julio alisema msanii huyo ni mchezaji mzuri na amekuwa akim­wambia kuwa yupo tayari kumsajili achezee katika timu yake kutokana na uwezo mkubwa alionao na kama akiwekwa vizuri ana uwezo wa kucheza soka la kulipwa barani Ulaya.


“Alikiba ni mchezaji mzuri sana, mimi binafsi huwa namwambia ‘nataka nikusa­jili’, kama hawezi kuja kule mkoani lakini tukija hapa Dar aje acheze, ana uwezo mkub­wa sana kuliko wachezaji wengi wa Simba na Yanga ambao wanalipwa mishahara ya bure.


“Isipokuwa tu nchi yetu haitaki kujua watu wenye uwezo, tunafua­ta majina na labda wana sababu zao, ndiyo hivyo lakini Kiba kama anatengenezwa hakuna ambaye anaweza kusema kuwa Kiba siyo mchezaji na kwa uwezo wake kama anacheza basi hapa ata­cheza ligi hii, mwaka wake mmoja tu anakwenda kucheza soka la kulipwa,” alisema Julio.


June 10, 2018

DONDOO ZA MAGAZETI YA UDAKU ,MICHEZO NA BURUDANI JUMATATU YA 11.2018

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.

Ni asubui nyingine blog yako pendwa kalambonews tunakusogezea kurasa za magazeti ya jumatatu .USISAHAU KUTU FOLLOW BOFYA NENO FOLLOW UWE WAKWANZA KUPATA ABARI ZETI SASA

Hiapa Yanga mpya baada ya mkutano mkuu Jana soma hapw


June 10, 2018

MAMBO MATANO MAKUBWA WALIO HAFIKIANA YANGA SC MKUTANO MKUU

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.


Club ya Dar es Salaam Young Africans leo Jumapili ya June 10 2018 ilifanya mkutano mkuu na wanachama wake katika ukumbi wa Police Officers Mess Masaki Dar es Salaam na kujadili mambo mbalimbali kuhusiana na club yao.

Yanga wamejadili mambo mbalimbali ikiwemo kuafiki kwa pamoja club yao kuingia katika mfumo wa mabadiliko ila wamepinga na kukataa barua ya mwenyekiti wao Yussuf Manji ya kuomba kujiuzulu nafasi yake hiyo ndani ya Yanga.
 TAZAMA ILIVYO KUA  HAPA
June 10, 2018

GOR MAHIA WAIPA KICHAPO SIMBA SC...SAFARI YA ULAYA NDO BASI TENA

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.

Moja kati ya siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka Bongo ni leo June 10 2018, kwani ndio ilikuwa siku inayochezwa mchezo wa fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup 2018 kwa kuzikutanisha timu za Simba SC dhidi ya Gor Mahia.

Game ya fainali ilichezwa katika uwanja wa Afraha Nakuru nchini Kenya lakini kikubwa ukiachilia mbali zawadi ya Kombe na pesa, zawadi ya Bingwa kwenda katika jiji la Liverpool England katika uwanja wa Goodson Park iliongeza hamasa na mvuto wa game yenyewe.

Bahati mbaya Simba ambao ndio walikuwa wawakilishi pekee wa Tanzania katika mchezo huo wa fainali, wamejikuta wakipoteza nafasi ya kucheza na Everton baada ya kukubali kipigo cha magoli 2-0, hivyo Gor Mahia wanatetea Ubingwa wao na watacheza tena kwa mara ya pili game ya kirafiki na Everton.

Kingine kilichokuwa kinaleta mvuto ni kuwa Simba SC ilikuwa inacheza na Gor Mahia ambayo inafundishwa na kocha Dylan Kerr raia wa England, kocha ambaye aliwahi kuifundisha Simba miaka ya nyuma ila walimfuta kazi baadae kwa kutoridhishwa na mwenendo wa timu.June 10, 2018

MATOKEO GOR MAHIA VS SIMBA SC 2_0 KIPINDI CHAPILI

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Matokeo Gor Mahia vs Simba leo 10 June 2018 SportpesaMatokeo Gor Mahia vs Simba leo 10 June 2018 Sportpesa

Matokeo Gor Mahia vs Simba leo 10 June 2018 Sportpesa Super Cup Nakuru katika uwanja  wa Afraha

Magazeti ya Michezo 10 June 2018
Timu zipo uwanjani tayari kwa MCHEZO

Mechi imeanza katika uwanja wa Afraha, Gor Mahia vs Simba

Gor Mahia 0 – 0 Simba

Dakika ya 1 Anajaribu Adam Salamba Mpira unambabatiza Mlinzi wa Gor

Dakika ya 4 Meddie Kagere anaipatia Gor Mahia bao la kwanza

Gor Mahia 1 – 0 Simba

Dakika 10

Gor Mahia 1 – 0 Simba (4′ Meddie Kagere)

Dakika ya 20

Gor Mahia 1 – 0 Simba

Dakika ya 27 rasid Juma anajaribu shuti baada ya Kuwapindua Mabeki Kipa anadaka

Dakika ya 34 Erasto nyoni anapewa kadi ya njano kwa mchezo usio wa Kiungwana

Dakika ya 35 Harun Shakava wa Gor Mahia  naye anapewa kadi ya Njano

Dakika ya 39 Tuyisenge na Paul Bukaba wanavimbiana uwanjani refa anajaribu kuwapatanisha

Dakika ya 44 Francis Kahata anachomoka katikati ya Mabeki na Kupiga Mpira Golini , Mpira Unapita nje ya goli

Gor Mahia 1 – 0 Simba (4′ Meddie Kagere)

HALF TIME

Gor Mahia 1 – 0 Simba

KIPINDI CHA PILI

Dakika ya 47

Gor Mahia 1 – 0 Simba

Dakika ya 54 Tuyisenge anaiandikia Gor Mahia bao la Pili

Gor Mahia 2 – 0 Simba
June 10, 2018

Full time singida united vs homeboys 1_4 goals

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.

Matokeo Kakamega homeboyz vs Singida United 10 June 2018


Matokeo Kakamega homeboyz vs Singida United 10 June 2018

Matokeo Mchezo wa kutafuta Mshindi wa 3 katika uwanja wa Afraha kati ya Singida United na Kakamega HomeboysKK Homeboyz 0 – 0 Singida United

Dakika ya 3 Opondo anaitanguzila Kakamega Homeboyz kwa bao la Kwanza

KK Homeboyz 1 – 0 Singida United

Dakika 10

KK Homeboyz 1 – 0 Singida (3′ Opondo)

Dakika ya 15 Singida United wanajaribu kutengeneza Mipango lakini Wanapoupata Kakamega Homeboyz wao wamekuwa watu wa Kucheza kwa Kasi Tu, 1 – 0

Dakika ya 17 Kakamega wanafanya shambulizi la Hatari, Shujaa anakuwa Kennedy Juma anaokoa mpira na Kuwa Kona

Dakika 20 katika uwanja wa Afraha Nakuru, Matokeo bado ni 1 kwa Kakamega Homeboyz na 0 kwa Singida United

Dakika ya 23 KK Homeboyz wanawakosa Singida bao jingine.

Dakika ya 27 Danny lyanga anachezewa Faulo, Free Kick

Inapigwa inakosa madhara kwa Kakamega

Dakika ya 35 Manyika Jr anaokoa mpira hatari wa adhabu uliopigwa langoni mwa Singida, Kakamega 1 – 0 Singida

HALF TIME

Kakamega Homeboyz 1 – 0 Singida United (3′ Opondo)

KIPINDI CHA PILI

Dakika ya 56 Maliki Antiri anapewa kadi ya njano kwa kumcezea vibaya Mudavadi

Kakamega 1 – 0 Singida United

Goaaaaaaaaal Dakika ya 60 Danny Lyanga anaipatia Singida Bao la Kusawazisha

Kakamega Homeboys 1 – 1 Singida UnitedDakika ya 75

Kakamega Homeboys 1 – 1 Singida United

Dakika ya 80

Kakamega Homeboys 1 – 1 Singida United

DAKIKA 90 ZIMEISHA

Kakamega Homeboys 1 – 1 Singida United (Opondo, Danny Lyanga)

Zinafata Penati

Deus Kaseke anafunga Penati ya kwanza Singida

Mukhaya anakosa penati upande wa KK Homeboys, Anapiga Juu

KK  Homeboys 0 – 1 Singida United

Miraji Adam anafunga penati kwa Singida United

Kisuya wa KK Homeboys anakosa, Manyika anaicheza

KK Homeboys 0 – 2 Singida United

Shafiq Batambuze anafunga penati ya 3 ya Singida United

Wafula wa KK Homeboys anafunga PENATI

KK hOMEBOYZ 1 – 3 Singida United

Danny Lyanga anafunga Penati ya 4 kwa Upande wa Singida United, Singida washindi wa Tatu wa Sportpesa Super Cup

FULL TIME

KK Homeboyz 1 – 4  Singida United

June 10, 2018

KWANINI UANGAIKE WAKATI 1XBET IPO KWAAJILI YAKO !!!

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.

Kwanini Upige mizinga wakati 1XBET ipo kwa ajili yako? Jiunge sasa na 1XBET, Weka pesa kwenye akaunti yako, Utawekewa pesa mara mbili (2) ya kiasi ulichoweka.
Hebu fuata Maelekezo yafuatayo uweze kujijazia Mapesa.
BOFYA HAPA KUJIUNGA kujiunga na 1XBET
   2. Baada ya hapo BONYEZA neno REGISTER
   3. Inatakiwa ujiunge kwa ONE CLICK ndio Rahisi zaidi, Utaona KIBOX kimeandikwa “Enter Promo Code” weka 1x_17260, baada ya hapo Bonyeza REGISTER Utakuwa tayari umejiunga na 1XBET.
Kama unapata Tatizo lolote la namna ya Kucheza  au Kujiunga basi waweza Kupata Msaada hapa. Bonyeza Maneno haya hapa Chini.
> 1XBET WhatsApp GROUP

> 1XBET TANZANIA FACEBOOK

> 1XBET OFFICIAL TELEGRAM GROUP
June 10, 2018

KIKOSI CHA SINGIDA UNITED VS KAKAMEGA HOMEBOYZ LEO

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Kikosi cha Singida United dhidi ya Kakamega Homeboyz leo


Kikosi cha Singida United dhidi ya Kakamega Homeboyz leo
Soma hapa habari za michezo jumapili ya leo
1. Peter Manyika Jr
2. Miraji Adam
3. Salum Chuku
4. Malik Antiri
5. Kennedy Juma
6. Diaby Amara
7. Deus Kaseke
8. Nizar Khalifan
9. Danny Lyanga
10. Kenny Ally
11. Tibar George
Kikosi cha akiba
12. Ally Mustapha
13. Shafik Batambuze
14. Elisha Muroiwa
15. Salum Kipaga
16. Alinywesia Sumbi
17. Yusuph Kagoma
18. Lubinda Mundia
18. Felipe Santos

Saturday, 9 June 2018