Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Usajili : Fahamu Washambuliaji 6 Wanaotajwa Sana usajili Yanga 2018
Yanga ambao waliinyanyasa Simba kwa Takribani Miaka 5 Mfululizo kwenye ligi Kuu kwa Kuchukua taji mara 4 ndani ya Misimu 5 huku moja kati ya silaha kubwa Ikiwa ni safu bora ya Ushambuliaji kwenye misimu hiyo kitu ambacho kimekosekana msimu Huu.
Download wimbo mpya wa Christina shushu>>
Washabiki wa Yanga kwenda Kenya bure
Sasa katika tetesi za Usajili ambazo zimekuwa zikitajwa sana Yanga ni Takribani Washambuliaji 6 kutoka Nje na Ndani ya Ya nchi.
Ali Ali amemtaja mchezaji wake bora wa Msimu
Washambuliaji hao ni Nyota wa Welayta Dicha Arafat Djako, Wanaijeria Ogechwuku James na Kola Quadri wa Manzini Wanderers ya Swaziland.
Tetesi za Usajili Simba 22 May 2018
Wengine msomaji wa Kwataunit ni Adam Salamba kutoka Lipuli ambapo inasemekana Yanga hawajakata naye tamaa, Marcel Boniventure wa Maji Maji pamoja na Wyvwonne Isuza kutoka AFC Leopards
prop
Tuesday, 22 May 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment