Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Tetesi za Usajili Yanga : Stand United yajipanga kuwabania Yanga kwa Huyu
Wakati kukiwa na Habari kuwa Mwalimu George Lwandamina aliyekuwa kocha Mkuu wa Yanga kuacha majina ya baadhi ya wachezaji Yanga kuwa katika mapendekezo yake ya Usajili Stand United nao wameibuka na Yao.
Lwandamina katika Ripoti yake alikuwa amependekeza wachezaji Bigirimana Blaise wa Stand United, Marcel Bonaventure wa Maji Maji na Adam Salamba wa Lipuli.
Lakini Stand United UTASEMA wamesikia ishu ya Yanga kumwitaji Blasie Bigirimana
Kupitia kwa katibu mkuu wake Kenny Nyangi amesema kuwa wanajipanga kuhakikisha wanawaongezea mkataba wachezaji wake wote Muhimu akiwemo Blaise Bigirimana na beki Kisiki Ali Ali.
prop
Tuesday, 8 May 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment