Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Post ya Shiza Kichuya baada ya Ubingwa Simba
Jana ilikuwa siku yenye Furaha kwa Simba mara baada ya Kukaa misimu kadhaa Bila Ubingwa, Ubingwa wa Mwisho ukiwa ni Ule wa msimu wa 2011/2012.
Shiza Kichuya ambaye amekuwa na Msimu mzuri Msimbazi akisaidia kupatikana magoli ( assists ) 20 katika mechi 27 ameandika ujumbe wake kupitia Ukurasa wa Instagram.
Ujumbe wa Kichuya Huu hapa chini
SIO NGUVU ZETU ILA M/MUNGU UMESAIDIA SANA TUNASEMA AHSANTE SANA BILA WEWE SISI SI CHOCHOTE SI LOLOTE 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
A POST SHARED BY SHIZA RAMADHANI KICHU
prop
Thursday, 10 May 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment