TUMUSIFU BWANA

prop

Wednesday, 9 May 2018

Yanga :Hawa ndiyo wachezaji wenye majina waliosafiri MBEYA

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
YANGA: Hawa ndiyo wachezaji 7 Pekee wenye Majina waliosafiri na Timu kwenda MBEYA

Yanga kutokana na Ratiba ya ligi Kuu soka Tanzania Bara VPL  kuwa ngumu Imelazimika kugawa vikosi viwili kimoja Kikibaki Dar Es Salaam na Kingine kwenda Mbeya.

Wachezaji waliobaki Dar wengi  ni wale wanaocheza Kikosi cha Kwanza mara kwa Mara, Huku kikosi cha Dar kikibaki na Kocha Mwinyi Zahera na Noel Mwandila na Kikosi chenye vijana wengi wa Timu B pamoja na Nyota 7 pekee kikienda Mbeya na Nsajigwa na Hafidh Saleh.

Wachezaji pekee wenye Majina walioenda Mbeya ni Beno Kakolanya, Thaban Kamusoko, Matheo Antony, Baruan Akilimali, Amis Tambwe, Maka Edward Na Pato Ngonyani

No comments:

Post a Comment