Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
CLOSE
HOME
SPORTS
KITAIFA
MUSIC
KIMATAIFA
VPL SPECIAL
UCHAMBUZI
Home sports Tetesi za Usajili Yanga leo Jumatano 9 May 2018
SPORTSYANGA
Tetesi za Usajili Yanga leo Jumatano 9 May 2018
By Kwata Unit - May 9, 2018 0
Tetesi za Usajili Yanga leo Jumatano 9 May 2018
Unaambiwa Yanga baada ya Kuona mambo hayajakaa sawa sana Msimu Huu kufuatia kuukosa Ubingwa wa Kombe La Azam Sports, Kutofanya Vizuri kwenye Ligi Kuu na Mashindano mengine tayari wameanza kujenga Kikosi kipya Kimya Kimya.
Tayari Mnigeria Kola Quadri ametua Jana kwaajili ya Mazungumzo ya Mwisho na Klabu ya Yanga na huenda akasaini Yanga Msimu kwaajili ya msimu ujao.
FISTON KAYEMBE ANARUDI
Naye beki ambaye alitangazwa kusajiliwa kabla ya msimu wa Ligi Kuanza Fiston Kayembe anatajwa Kurudi kwenye Kikosi cha Yanga.
Kayembe alisajiliwa na Yanga lakini klabu yake ya Sangabalenge ilimbania kucheza Yanga baada ya Kusema ilikuwa bado inamkataba naye wa mwaka Mmoja.
Lakini sasa mkataba huo unamalizika rasmi Msimu huu na baada ya hapo atakuwa Huru hivyo anarudi Yanga ambayo ilikuwa ishamlipa baadhi ya pesa yake ya Usajili.
prop
Tuesday, 8 May 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment