Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Ratiba Ligi Kuu soka Tanzania bara VPL 13 May 2018
Ligi Kuu soka ya Tanzania Bara VPL itaendelea leo kwa Mechi mbili kuchezwa katika Viwanja vya Miji na Mikoa Miwili.
Katika uwanja wa Jamhuri mji Kasoro Bahari Morogoro vijana wa Zuberi Katwira Mtibwa Sugar wataikaribisha Yanga iliyotoka kupokea Kichapo kutoka kwa Tanzania Prisons alhamis ya wiki Hii.
Na mkoani Mbeya katika uwanja wa Sokoine Kutakuwa na Mbeya Darby Mbeya City watakuwa wenyeji wa wanajelajela vijana kutoka mitaa ya Sinde Tanzania Prisons.
prop
Saturday, 12 May 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment