Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU
BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
 |
Add caption |
Kalambonews app install now to get each information now.Mshambuliaji wa Manchester City Gabriel Jesus, mwenye umri wa miaka 20, amekataa malipo ya £90,000- kutoka kwa viongozi wa Ligi ya Primia na wale wa Brazil na hivyo watalazimika kusubiri hadi msimu wa majira ya joto kujadili mkataba mpya . (Mail)
Manchester City wanammezea mate mchezaji wa kiungo cha kati wa timu ya Uhispania ya Real Madrid Isco, mwenye umri wa miaka 25 ambaye wanataka kumnunua £75m msimu wa majira ya joto . (Sun)formation
No comments:
Post a Comment