TUMUSIFU BWANA

prop

Thursday, 7 June 2018

HIKI APA ALICHO KIPOSTI SALAMBA BAADA YA MECHI YAKE YAKWANZA AKIWA MSIMBAZI SIMBA

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.

Ujumbe wa Salamba baada ya Kucheza mechi ya Kwanza Simba

Jana Adam Salamba kwa mara ya Kwanza alivaa uzi wa Simba akiwa na Jezi namba 11 akiingia dakika ya 58 kuchukua nafasi ya Kinda Rashid Juma ambaye alishindwa Kuendelea baada ya Kuumia.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Adam Salamba ameandika Ujumbe akimshukuru Mungu kwa Mchezo huo, Angalia Hapo chini Post yake

No comments:

Post a Comment