Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
MWANAMKE aliyeangua kilio mbele ya Rais John Magufuli wakati wa maadhimisho ya siku ya sheria jijini Dar es Salaam, Februari 12, mwaka jana amehukumiwa kifungo cha miezi mitatu jela baada ya kukutwa na hatia yakuingia sehemu isiyoruhusiwa bila kibali.
Swabaha Shosi, ambaye baada ya tukio hilo alizua mjadala mkubwa, jana haikuwa siku njema kwake kwani alijikuta akiangukia mikononi mwa sheria baada ya Hakimu wa Mahakama ya mwanzo ya Usambara, Khadija Kitogo, kumtia hatiani kwa kuingia eneo lisiloruhusiwa kisheria.
MAUMIVU YA CAF, KASALI AIBEBA SIMBA KIMATAIFA
7 hours ago

No comments:
Post a Comment