Watu mbalimbali wamejitokeza katika ibada ya kuwaaga mwili wa Maria na Consolata katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Ruaha-RUCU ambapo ibada maalumu ya kuwaaga mapacha hao imefanyika. Baada ya ibada kutakuwa na maandamano ya kuelekea katika makaburi ya Tosamaganga ambapo ndipo miili yao itakapumzishwa.
Ibada hiyo imehudhuriwa na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Joyce Ndalichako na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu atayeshughulikia masuala ya Watu wenye ulemavu, Stella Ikupa
No comments:
Post a Comment