TUMUSIFU BWANA

prop

Monday, 30 April 2018

April 30, 2018

Dondoo za magazeti ,michezo na burudani Tanzania 01.2018

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Furahia kurasa za magazeti ya juma NNE Kwa kurasa moto moto nbalimbali za magazeti

April 30, 2018

MATOKEO YA MWADUI FC VS MBAO FC VPL 1_0

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Matokeo Mwadui Fc vs Mbao Fc VPL 30 April 2018

Matokeo Mwadui Fc ambao wapo nyumbani kuwakaribisha Timu ya Mbao Fc kutoka Jijini Mwanza, timu zote zinapambana ili kutoshuka Daraja

Mwamuzi Erick Onoka anapuliza Filimbi kuahiria kuanza kwa pambano.

Dakika ya Kwanza Mbao wanapata Kona, kona inapigwa refa anasema Irudiwe.

Inapigwa Kona lakini Inashindwa kuleta madhara langoni mwa Mwadui Fc.

Dakika 5 Zimekatika

Mwadui Fc 0 – 0 Mbao Fc

Dakika ya 7 Mbao wanapata kona ya Pili kwenye mchezo Huu, Lakini mabeki wa Mwadui wanaokoa lakini Mpira bado upo Langoni mwa Mwadui

Dakika ya 8 Mwadui wanafanya shambulizi zuri kipa anatoa na Kuwa Kona

Mwadui 0 – 0 Mbao Fc

Dakika 15

Mbao wanaonekana kucheza vizuri wakiwa wamerelax wakipiga pasi Fupi na Kutengeneza mashambulizi kadhaa, Lakini bado ni 0 kwa 0

Dakika ya 17 Mwadui wanapata kona, Mabeki wa Mbao wanaokoa Mpira Unarudi tena Langoni mwa Mbao ni hatari lakini Unaokolewa tena

Dakika ya 26 Mwadui wanafanya Shambuzi la Kiume, Unapigwa Mpira Unagonga Mwamba wa Juu unatoka

Mwadui 0 – 0 Mbao Fc

Dakika ya 29 Makosa ya safu ya Ulinzi ya Mbao yanawapa Mwadui bao la Kuongoza.

Mwadui 1 – 0 Mbao Fc

Awesu anapewa kadi ya Njano baada ya Kumwadaa mwamuzi kuwa amekanyagwa kumbe kajiangusha

Dakika 35

Mwadui 1 – 0 Mbao Fc

Dakika ya 42 Gerald Mathias wa Mwadui anapewa kadi ya Njano, Alionekana anachonga sana kwa Mwamuzi

Mpira ni mapumziko

Mwadui 1 – 0 Mbao Fc

KIPINDI CHA PILI

Dakika ya 46 Kipa wa Mbao anapewa kadi ya Njano kwa kucheza Faulo

Dakika ya 49 Salum Hamis wa MWADUI anakosa bao yeye na Kipa wa Mbao Hassan Mohammed, Kipa anaokoa

Dakika ya 52 Kipa wa Mwadui Emmanuel Massawe anapewa kadi Nyekundu baada ya KWENDA kuukoa Mpira Uliokuwa unaelekea Golini nje ya 18

Dakika ya 56 Mwadui wanafanya Sub ili aweze Kuingia kipa mwingine

Dakika ya 70

Mwadui 1 – 0 Mbao Fc

Dakika ya 75 Mbao wanapata Kona mwadui wanaokoa
April 30, 2018

TUTAKUKUMBUKA WIMBO MPYA

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Download hapa
April 30, 2018

TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA JUMATATU YA 30.2018

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Mkufunzi mkuu wa Real Madrid Zinedine Zidane amesema washambuliaji wake Gareth Bale, 28, na Karim Benzema, 30, "watasalia" katika klabu hiyo licha ya tetesi kudokeza kwamba huenda wakahama. (Star)
Bournemouth wanaaminika kuwa tayari kushindana na Tottenham na Manchester United katika kutafuta saini ya beki wa Celtic kutoka Scotland Kieran Tierney, 20. (Sun)
Meneja wa Arsenal anayeondoka Arsene Wenger atachukua "miezi minne hadi mitano" kuamua kuhusu mustakabali wake. (London Evening Standard)
Wakufunzi wanaopigiwa upatu kumrithi Arsene Wenger
Mshambuliaji wa zamani wa Celtic Chris Sutton anasema "litakuwa jambo zuri sana kwa soka ya Scotland iwapo Steven Gerrard atakuwa meneja wa Rangers". Hata hivyo amemtahadharisha nahodha huyo wa zamani wa Liverpool kwamba "hatua kama hiyo inaweza kufuta matumaini yake ya kuwa mkufunzi tajika hata kabla yake kuanza" (Mail)
Meneja wa Tottenham Mauricio Pochettino amekataa kuthibitisha iwapo atakuwa kwenye klabu hiyo msimu ujao. (Mirror)
Haki miliki ya pichaBBC SPORT
Naye meneja msaidizi wa Liverpool Zeljko Buvac ameihama klabu hiyo baada ya kuzozana na meneja wa sasa Jurgen Klopp. (Daily Record)
Mshambuliaji wa Crystal Palace mwenye miaka 27 Christian Benteke, ambaye amesalia na miaka miwili pekee katika mkataba wake na klabu hiyo, amesema atajadiliana kuhusu hatima yake na klabu hiyo mwisho wa msimu. (Mail)
Mfanyabiashara Mmarekani Shahid Khan anaweza akaukubali mpangilio wa "lipia ukiendelea kuchezea" kati yake na Chama cha Soka cha England kama sehemu ya makubaliano kati yake na chama hicho kuhusu ununuzi wa uwanja wa Wembley. Mpangilio kama huu unaweza kuifanya nafuu kwa FA kutumia viwanja vya nje kucheza mechi zake. (Times )
Klabu ya West Brom ambayo imo hatarini ya kushushwa daraja itapigania kusalia na beki wa England Craig Dawson mwenye miaka 27 ambaye anatafutwa na Burnley, Wolves na West Ham. (Mirror)

April 30, 2018
Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.


MICHEZOAudio: Nimekimbilia Bagamoyo, ni haibu – Mzee Akilimali baada ya kipigo cha Simba By Hamza Fumo | April 30, 2018 - 4:52 pm
Tazama alicho kisema leo

Spread the love
Katibu wa baraza la wazee la klabu ya Yanga, Mzee Akilimali amesema kuwa kipigo alichopata kwenye mchezo wajana dhidi ya hasimu wake Simba kimemfanya ahame mji na kukimbilia Mkoa pwani, Kibaha hadi hapo hali itakapo kuwa shwari.
April 30, 2018

FQ ATEURIWA NA TUMA IKO HIVI

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Msanii wa muziki wa Hip Hop Bongo, Fid Q ameteuliwa na Chama cha Muziki wa Kizazi Kipya Tanzania (TUMA) kuwa mwenyekiti wa kamati ya fedha, mipango na uchumi.


Baada ya uteuzi huo Fid Q amesema; ‘Ni matumaini yangu tutaenda mkono kwa mkono kama majukumu na fursa,”.

Sunday, 29 April 2018

April 29, 2018

Post ya jerry muro akiipongeza simba na ushauri Kwa yanga

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Post ya Jerry Muro akiipongeza Simba na Ushauri aliotoa kwa Yanga

Msemaji wa zamani wa timu ya Yanga Jerry muro amewapongeza Simba baada ya Ushindi na Kisha kuwashauri kitu Yanga kuhusu Kuhamasisha washabiki kuwa wanaingia uwanjani kama ambavyo Manara amekuwa Akifanya kwa Simba.


TAGSPOST YA JERRY MURO AKIIPONGEZA SIMBA NA USHAURI ALIOTOA KWA YANGA
Facebook Twitter
April 29, 2018

Avengers: Infinity War estimated to break global opening weekend record

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Avengers: Infinity War made history with a $630m (£457m) global opening weekend take, according to estimates.
Industry tracker Exhibitor Relations made the estimate, even though the film has not yet opened in China.
If confirmed, the superhero sequel would overtake The Fate of the Furious's $542m global opening weekend haul, a record set in 2017.
The film is also seen taking the all-time domestic opening record, making $250m in the US alone.
Official figures will come out on Monday, but this would put Avengers ahead of Star Wars: The Force Awakens' $248m take.


Scarlett Johansson stars in the film as Black Widow...

Image caption
...while Robert Downey Jr stars as Iron Man
Infinity War, directed by brothers Joe and Anthony Russo, cost between $300m and $400m to make.
The film tracks a range of Marvel superheroes in their battle against villain Thanos.
Actors including Robert Downey Jr, Scarlett Johansson, Benedict Cumberbatch, Chadwick Boseman and Chris Pratt, star in the sequel, the first of two parts.
The conclusion is set to be released in May 2019.
April 29, 2018

Tazama gori la pekee la simba vs Yanga 1_0

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.

April 29, 2018

Review goals match Man united vs Arsenal 2_1 goals

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Jioni tutakuunganisha na mechi hii live jiunge nasi badae leo

Saturday, 28 April 2018

April 28, 2018

BOFYA KUTAZAMA MECHI LIVE NA MATOKEO KAMILI SIMBA SC VS YANGA SC 1_0 KILA DAKIKA 20

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
<<<<<Bofya hapa kutazama mechi live >>>>


Hiki Hapa kikosi cha Simba dhidi ya Yanga leo 29 April 2018, mechi Ikichezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam kuanzia saa kumi kamili.
 
Aishi ManulaNicolas GyanAsante KwasiYusuph MlipiliErasto NyoniJonas MkudeJames KoteiShomari KapombeJohn BoccoEmmanuel OkwiShiza Kichuya 
Wachezaji wa Akiba
1.Said Nduda 2.Hussein Zimbwe3.Juma Luizio
4.Ndemla
5.Mavugo
6.Mzamiru
7.Bukaba

Kikosi cha Yanga kinachoweza Kuanza dhidi ya Simba leo  29 APRIL 2018

Kutokana na hali ya Majeruhi  ndani ya Kikosi cha Yanga na uwezo wa kucheza kwa wachezaji  siku za Karibuni Kikosi cha Yanga kinaweza Kuwa hivi.

Golini Uzoefu lakini Ubora licha ya kuwa na Makosa madogo madogo Youthe Rostand bado ananafasi ya Kuanza katika kikosi cha Yanga katika mchezo wa leo.

Mabeki wa Pembeni : Kumekuwa na Changamoto kwa wachezaji wa Pembeni kwa siku za Karibuni huku kila mmoja akiwa na faida na hasara zake, Kulia Juma Abdul anauwezo mkubwa wa Kumimina majalo lakini Hassan Kessy anauwezo Mkubwa wa kukaba na kuanzisha mashambulizi.

Nafasi hii msomaji wa Kwataunit.com  inachangamoto lakini Hassan Kessy anaweza kuanza leo kutokana na morali ambayo atakuwa nayo kwani wengi tunajua alivyoondoka Simba atataka kuwaonyesha kuwa yeye ni Mwamba, Kushoto Gadiel Michael ananafasi ya Kuanza leo.

Mabeki wa Kati : Kama Kelvin Yondani na Andrew Vincent watakuwa wamepona vilivyo basi ni wazi leo wanaweza kuanza pamoja kama mabeki wa Kati.

Kwanini siyo Abdallah Shaibu?

Abdallah Shaibu anaweza Kuanza endapo tu mmoja kati ya Yondani au Dante watakuwa hawako fiti asilimia mia, Yondani na Dante wamecheza mechi nyingi pamoja na kwa kiasi kikubwa wanaelewana.

Lakini pia uzoefu wa Kucheza mechi kubwa na zenye pressure kama hizi Dante na Yondani wamecheza pamoja mechi kadhaa.

Lakini pia Kocha anaweza kujitoa Ufahamu na Kumwamini Ninja na Kuamua kumuanzisha na mmoja kati ya Yondani au Dante.

Mabeki wa Kati : Said Juma Makapu ambaye anauwezo wa kukaba na kusaidia eneo la nyuma anaweza kuanza akisaidiana na Papy Tshishimbi AU Kamusoko akaanza na Tshishimbi eneo la Kati.

Au Option Nyingine ambayo imekuwa Ikitumika kwa siku za Karibuni kikosi cha Yanga kwenye mechi za Welayta Dicha kumtumia Tshishimbi kama namba 6 na Pius Buswita kama namba 8.Winga : Pembeni Kulia hakuna ubishi kuwa Yusuph Mhilu ambaye ni moja ya Jicho la Yanga ataanza na Namba 11 Ibrahim Ajib ambaye amekuwa mzuri akitokea Pembeni.

Washambuliaji : Kwasiku za Karibuni Raphael Daud amekuwa akicheza kama namba 10 akisaidiana na Obrey Chhap

a.

Kikosi cha Simba kinachoweza Kuanza dhidi ya Yanga leo 29 April 2018

Kutokana na Kikosi kwa siku ya Karibuni, Mfumo, Wachezaji waliotrain mazoezini na uwezo wa wachezaji mazoezini na siku za Karibuni Hiki ndicho Kikosi cha Simba kinachoweza kuanza dhidi ya Yanga leo April 29, 2018

>> Soma habari za Michezo hap

Golini : Hakuna hata punje ya Shaka kuwa nafasi ya kipa kwa leo ji ya Aishi Manula, Uwezo wake wa Kuokoa hatari langoni mwake kunanifanya niendelee kuamini kuwa ataanza katika mchezo wa Leo.

Mabeki wa 3 Kwenye mfumo wa 3,5,2 : Kutokana na Mfumo wa Simba kuwa ni 3,5,2 Mabeki 3 wanaoweza kuanza kwenye mfumo huo wanaweza kuanza Juuko Murshid, Erasto nyoni na Yusuph Mlipili.

Wachezaji watano kwenye Mfumo wa 3,5,2 : Hapa Wanaweza kucheza Nicolas Gyan, Asante Kwasi wakicheza kama namba 2 na 3 timu inaposhambuliwa lakini wakionekana kusogea mbele zaidi timu inaposhambulia.

Wachezaji wengine ambao wanaweza kuanza kwenye eneo la Kati ya Uwanja msomaji wa Kwataunit.com ni Jonas Mkude , Shomari Kapombe na Shiza Kichuya wakicheza kama Viungo wa kati na Kukamilisha wachezaji watano kwenye mfumo wa 3,5, 2.

Washambuliaji wawili :Katika eneo la Ushambuliaji klabu ya Simba kumekuwa na washambuliaji Pacha wanaoobnekana kuelewana na Kupendana hata wanapokuwa mazoezini, John Bocco na Emmanuel Okwi hawa wananafasi kubwa ya Kuanza leo.

April 28, 2018

HAJI MANARA AWACHOKONOA YANGA LEO JUMAPILI

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.

Haji Manara awachokonoa Yanga kuelekea pambano la Le

Haji Manara awachokonoa Yanga kuelekea pambano la Leo

Kuelekea pambano la watani wa jadi Simba vs Yanga April 29 2018 katika uwanja wa Taifa, Haji Manara kama kawaida yake jana alipost Picha hiyo hapo chini.

Picha hiyo inaonyesha mtu wa simba akimuuliza mshabiki wa Yanga anayeonekana kuwa kitandani kama Mgonjwa, Mshabiki wa Simba anamuuliza wa Yanga kesho Utaamka Kweli?Shabiki wa Yanga akajibu, Nitaamka lakini Nikisikia Kichuya nitazima Tena.

Baada ya picha Hiyo  msomaji wa kwataunit Manara akaanika Ujumbe Huu hapa Chini.

” Usiku wa deni haukawii……
Mwana kulitaka..mwana kulipewa..
Tuombe uhai na uzima InshaAllah 🙏🙏 “
April 28, 2018

NORTH KOREA NUCLEAR TEST SITE TO CLOSE IN MAY

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
North Korea nuclear test site to close in May, South Korea says

copyrightREUTERS
Image caption
A satellite image of the Punggye-ri nuclear test site in North Korea
North Korea's nuclear test site will close in May, the South Korean president's office has said.
A spokesman said the closure of the Punggye-ri site would be done in public and foreign experts from South Korea and the US would be invited to watch.
On Friday, North Korean leader Kim Jong-un and South Korea's President Moon Jae-in agreed to work to rid the Korean peninsula of nuclear weapons.
Their summit came after months of warlike rhetoric from the North.
On Saturday, US President Donald Trump he would likely hold talks with the North Korean leadership "over the next three or four weeks" about the denuclearisation of the peninsul
What did South Korea say?
Presidential spokesman Yoon Young-chan said that Mr Kim had stated he "would carry out the closing of the nuclear test site in May".
Mr Yoon added that the North Korean leader had also said he "would soon invite experts of South Korea and the US to disclose the process to the international community with transparency".
The office also said North Korea would change its time zone - currently half an hour different - to match that of the South.
North Korea has so far made no public comments on the issue.
What is known about the test site?
Situated in mountainous terrain in the north-east, it is thought to be the North's main nuclear facility.