TUMUSIFU BWANA

prop

Wednesday, 6 June 2018

Zari arudi mjengoni

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.



Mwana dada pekee kutoka katika lebel ya wcb leo amethibitisha kurudi kwa  zari katika mjengo wa WCB  baada ya kuondoka na kugombana kaka yao muda mrefu lakini kumetokea usuluhihso na kurudi.


mwanadada huyo aliweka picha ya kaka na wifi yake huyo huku akiandika kwa kuwapa taarifa watu  amabo kwa namna moja ama nyingine inawza kusemekana kuwa ni hamisa amabe alikuwa katika penzi zito na daimond hivi karibuni.


#Godseeker,
I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.

Mwana dada pekee kutoka katika lebel ya wcb leo amethibitisha kurudi kwa  zari katika mjengo wa WCB  baada ya kuondoka na kugombana kaka yao muda mrefu lakini kumetokea usuluhihso na kurudi. mwanadada huyo aliweka picha ya kaka na wifi yake huyo huku akiandika kwa kuwapa taarifa watu  amabo kwa namna moja ama nyingine inawza kusemekana kuwa ni hamisa amabe alikuwa katika penzi zito na daimond hivi karibuni. Loading...  

No comments:

Post a Comment