TUMUSIFU BWANA

prop

Friday 30 March 2018

Musiba; majina ya wanao ongoza uharifu chadema

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
MWANASIASA aliyekuwa ACT Wazalendo na hivi karibuni kutimkia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Cyprian Musiba amesema kuwa, matukio yote ya uhalifu yakiwemo ya utekaji na mauwaji, yamekuwa yakifanya na kikundi anachodai kipo ndani ya Chadema.

Musiba amesema hayo leo Machi 30 mjini Dodoma wakati akizungumza na wanahabari na kudai kuwa Kikundi hicho kinaitwa TUME na kwenda mbele zaidi kwa kudai kwamba kinachoongozwa na Mbunge wa Arusha Mjini, Mhe. Goodbells Lema.

No comments:

Post a Comment