TUMUSIFU BWANA

prop

Tuesday, 22 May 2018

TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA JUMATANO 23.2018

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Meneja wa Manchester City Pep Guardiola anatathmini kumwinda mchezaji wa Ajax raia wa Uholanzi Matthijs de Ligt,18. (Guardian)
Download wimbo mpya wa mrisho poto ft Hamonize sasa .
Meneja wa Chelsea Antonio Conte anafikiria kuchukua likizo kutoka kandanda ikiwa atafutwa na klabu hiyo. Telegraph)
Haki miliki ya pichaPA

Manchester United wana nia ya kusikiliza ofa kwa mshambuliaji raia wa Ufaransa Anthony Martial, 22, lakini wako makini wasije wakamuuza kwenda klabu pinzani ya England. (Mail)

Pellegrini atangazwa Meneja wa West Ham
AC Milan wana mpango wa kumsaini mshambuliaji wa Chelsea rai wa Uhispania Alvaro Morata, 25. (Sky Italia - in Italian)

No comments:

Post a Comment