TUMUSIFU BWANA

prop

Wednesday, 23 May 2018

HIKI APA ALICHO POSTI HAJI MANARA KUHUSU NSAJIGWA WA YANGA

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.

Dongo la Haji Manara kwa Kocha wa Yanga Nsajigwa

Kama Unakumbuka vizuri katika mchezo kati ya Mbeya City na Yanga Uwanja wa Sokoine Kocha msaidizi wa Yanga Shadrack Nsajigwa alionekana kumlalamikia mwamuzi wa akiba juu ya Mbeya City kucheza wakiwa wamezidi uwanjani dakika za MWISHO.

Sasa Nsajigwa wakati akiongea baada ya mchezo huo akielezea situation hiyo alikosea neno substitution na Kutamka neno jingine kabisa “Subtution” ona Video na Ujumbe alioandika Manara Juu ya Hiyo Video ya Nsajigwa.


No comments:

Post a Comment