Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Tetesi za Thaban Kamusoko kwenda Azam.. Azam wafunguka haya
Tetesi za Thaban Kamusoko kwenda Azam.. Azam wafunguka haya
Rasmi wawili kusai simba Leo soma hapa zaidi
Wakati kukiwa na Tetesi kuwa Azam Fc wanamipango ya Kusajili wachezaji kadhaa kutoka Zimbabwe wakianza na Donald Ngoma kuna tetesi pia wapo katika mipango ya kumsajili Thaban Kamusoko.
Alichosema Mohammed Rashid kuhusu usajili wake msimu Ujao
Kamusoko anatajwa kuelekea Azam wakati ambapo kocha wa zamani wa Kamusoko akiwa Yanga Hans Van Pluijm naye anaelekea Azam Fc.
Lakini kaimu mwenyekiti wa Klabu ya Azam Fc ambao ndiyo washindi wapili wa VPL msimu wa 2017/2018 Abdulkarim Amin Popat amesema kuwa hakuna Taarifa kama Hizo mpaka sasa Mchezaji waliyemsajili kutoka Yanga ni Donald Ngoma pekee.
prop
Tuesday, 29 May 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment