TUMUSIFU BWANA

prop

Monday 28 May 2018

WACHEZAJI HAWA TAYALI WASHA MALIZANA NA SIMBA SC ADISASA

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Hawa ndiyo wapya wachezaji waliosaini Simba mpaka sasa
Kamusoko kuelekea azam fc soma hapa
Wakati Ligi Ikiwa imehitimishwa siku ya jana na Kushuhudia Simba ,Azam na Yanga zikiwa nafasi za Tatu za Juu na Njombe Mji pamoja na Maji maji zikishuka daraja tetesi na sajili za awali zimeendelea kama kawaida.

Wakati mambo mengine yakiendelea  klabu ya Simba imeweza Kukamilisha Usajili wa awali na wachezaji wawili mmoja mtoto wa nyumbani na mwingine aliyekuwa Gumzo zaidi siku za karibuni.

Wachezaji hao ni Marcel Bonaventure Kaheza aliyekuwa akicheza Maji Maji na Mkataba wake umemalizika baada ya msimu na mchezaji Adam Salamba kutoka Lipuli Fc.

No comments:

Post a Comment