TUMUSIFU BWANA

prop

Friday, 11 May 2018

Simba walivyo ingia singida kama wafalme

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Simba kama wafalme walivyoingia Singida

Mabingwa wapya wa soka Nchini Klabu ya Simba ya jijini Dar Es Salaam jana ilipokelewa Kifalme Ilipokuwa Ikiingia mjini Singida kwaajili ya mchezo kati yake na Wenyeji wao Singida United.

Washabiki wakitumia Boda boda na Magari walionekana kuliongoza gari la Simba wakati wanaingia mjini Humo wakitokea Dodomaa kwa Shangwe za Hatari.

Simba leo itakuwa uwanjani katika mchezo wa kutafuta tu heshima mbele ya Singida United kwani tayari wameshatwaa uchampioni wa VPL

No comments:

Post a Comment