TUMUSIFU BWANA

prop

Wednesday, 23 May 2018

RASMI EMERY ATANGANZA KUWA KOCHA MPYA WA ARSENAL

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
RASMI SASA MBADALA WA WENGER ATANGAZWA ARSENAL



Ni rasmi sasa uongozi wa klabu ya Arsenal umemtangaza Kocha Unai Emery kurithi mikoba ya Arsene Wenger aliyekaa na kikosi kwa muda mrefu.

Emery amekabidhiwa kiti cha Wenger ambaye alitangaza kustaafu baada ya kuitumikia kwa zaidi ya miaka 20

Emery anawasili Arsenal akitokea PSG ya Ufaransa aliyoifikisha hatua ya makundi na kutolewa kwenye ligi ya mabingwa Ulaya msimu huu.

 mungu akupe maisha malefu uendelee kufatilia blog hii 


Kocha huyo ataanza rasmi majukumu ya kukiandaa kikosi cha Arsenal kwa ajili ya msimu ujao wa ligi.

No comments:

Post a Comment