Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Wachezaji 30 Wanaowania Tuzo ya mchezaji bora Ligi Kuu VPL 2017/2018
Afisa habari wa TFF Clifford Mario Ndimbo ametangaza majina ya wachezaji 30 walioteuliwa kuwania Tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu Tuzo ambazo zitafanyika June 23 katika Ukumbi wa Mlimani City.
Majina ya Wachezaji hao ni haya Yafuatayo.
Habibu Kiyombo, Hamis Mcha, Yahya Zaid, Kelvin Yondani, Razack Abarola, Aggrey Morris, Himid Mao, Awesu Awesu, Adam Salamba, Mohamed Rashid, Shafiki Batambuze, Mudathir Yahya, Marcel Kaheza na Adam Salamba.
Wengine ni Eliud Ambokile, Shabani Nditi, Tafadzwa Kutinyu, Ibrahim Ajibu, Gadiel Michael, Papy Tshishimbi, Obrey Chirwa, Aishi Manula, Emanuel Okwi, John Bocco, Jonas Mkude, Erasto Nyoni, Shiza Kichuya, Asante Kwasi, Hassan Dilunga na Bruce Kangwa.
prop
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment