TUMUSIFU BWANA

prop

Wednesday, 6 June 2018

WACHEZAJI WA BRAZILI WAMPOKEA KIHIVI FRED BAADA YA KUSAJILIWA MAN UNITED

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Neymar na wachezaji wenzake Wabrazil wamfanyia sapraizi Fred mazoezini kwa kujiunga Man United


Tetesi za soka barani ulaya Leo soma hapa
Kiungo wa timu ya taifa ya Brazil, Frederico Rodrigues de Paula Santos maarufu kama Fred baada ya kutangazwa rasmi kusajiliwa na klabu ya Manchester United akitokea Shakhtar Donetsk, amepokelewa kwa shangwe na wachezaji wenzake wa timu ya taifa kwenye viwanja vya mazoezi vya klabu ya Tottenham jijini London ambapo timu hiyo inafanyia mazoezi tangu wiki iliyopita.
Chanzo cha kifo cha sam waukweli hiki apa
Neymar na wachezaji wengine kama Paulinho ni moja ya wachezaji waliojitokeza mapema jana kwenye mazoezi kumpongeza Fred kwa kujiunga na Man United.

Fred amejiunga na Manchester United kwa ada ya usajili wa Euro milioni 52 na ni moja ya wachezaji wenye umri mdogo walioitwa kwenye kikosi cha Brazil kinachoenda kushiriki kwenye michuano ya kombe la dunia.

No comments:

Post a Comment