TUMUSIFU BWANA

prop

Thursday, 7 June 2018

TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA ALHAMISI YA 7.2018

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.

Manchester City huenda wakakubali mkataba wa thamani ya pauni milioni 43 kwa mchezaji wa kiungo cha kati wa Napoli Jorginho, mwenye umri wa miaka 26, kufikia mwishoni mwa wiki, huku ajenti wamechzaji huyo wa kimataifa akiwa ameelekea England. (Mirror)
City huenda wakamuwania mchezaji wakiungo cha kati wa Southampton raia wa Gabon Mario Lemina au mchezaji wa Real Madrid Mateo Kovacic, wote walio na umri wa miaka 24, iwapo timu hiyo haitofanikiwa kumsajili Jorginho. (Mail)
Wawakilioshi wa mchezaji wa kiungo cha mbele wa Liverpool Mohamed Salah wamekana kumuuza raia huyo wa Misri mwenye umri wa miaka 25 kwa Barcelona. (Ramy Abbas Issa on Twitter)

Real Madrid itamlenga meneja wa Chelsea Antonio Conte baada ya hatua ya kushtusha ya kujiuzulu kwa Zinedine Zidanewiki iliopita. (Mail)
Liverpool wanajitayarisha kumsaka winga wa Stoke raia wa Usiwzi Xherdan Shaqiri, mwenye umri wa miaka 26, ambaye mkataba wake unahitaji alipiwe pauni milioni 12 ili aruhusiwe kuihama klabu hiyo. (star)
Haki miliki ya pichaREUTERS
Image caption
Meneja wa Chelsea Antonio Conte anapigiwa upatu kuvuka Real Madrid
Mchezaji wa kiungo cha mbele wa Liverpool Roberto Firmino anasema kipa wa Roma Alisson, mwenye umri wa miaka 25, amemuuliza kuhusu uwezekano wa kuhamia Anfield msimu huu wa joto. (Liverpool Echo)
Liverpool wametakiwa watoe £ milioni 80 na Atletico Madrid iwapo wanataka wamsajili kipa raia wa Sloveni Jan Oblak msimu huu wa joto. (Mirror)
Manchester United, Chelsea na Paris St-Germain wamepewa nafasi y kumsajili mshambuliaji wa Poland Robert Lewandowski lakini Bayern Munich haitomuuza mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 kwa kiwango kilicho chini ya £ milioni 175. (Bild - in German)
SportPesa yasitisha udhamini wa michezo Kenya
Singida United wajiunga na Simba nusu fainali kombe la SportPesa
Gor Mahia, Simba na Yanga kushindania kucheza dhidi ya Everton
Arsenal imependekezewa ombi la thamani ya £ milioni 26 kwa mchezaji wa kiungo cha kati raia wa Ureno Gelson Martins,aliyekataliwa na Sporting Lisbon. (A Bola - in Portuguese)
Tottenham itashindana na Chelsea kumsajili mlingi wa England Jamaal Lascelles, ambaye thamani yake inatajwa kuwa £milioni 45 na Newcastle. (Evening Standard)
Arsenal inakaribia kumsajili mchezaji chipukizi wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 17 wa kiungo cha kati Yacine Adli


No comments:

Post a Comment