TUMUSIFU BWANA

prop

Sunday, 10 June 2018

MATOKEO GOR MAHIA VS SIMBA SC 2_0 KIPINDI CHAPILI

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Matokeo Gor Mahia vs Simba leo 10 June 2018 SportpesaMatokeo Gor Mahia vs Simba leo 10 June 2018 Sportpesa

Matokeo Gor Mahia vs Simba leo 10 June 2018 Sportpesa Super Cup Nakuru katika uwanja  wa Afraha

Magazeti ya Michezo 10 June 2018
Timu zipo uwanjani tayari kwa MCHEZO

Mechi imeanza katika uwanja wa Afraha, Gor Mahia vs Simba

Gor Mahia 0 – 0 Simba

Dakika ya 1 Anajaribu Adam Salamba Mpira unambabatiza Mlinzi wa Gor

Dakika ya 4 Meddie Kagere anaipatia Gor Mahia bao la kwanza

Gor Mahia 1 – 0 Simba

Dakika 10

Gor Mahia 1 – 0 Simba (4′ Meddie Kagere)

Dakika ya 20

Gor Mahia 1 – 0 Simba

Dakika ya 27 rasid Juma anajaribu shuti baada ya Kuwapindua Mabeki Kipa anadaka

Dakika ya 34 Erasto nyoni anapewa kadi ya njano kwa mchezo usio wa Kiungwana

Dakika ya 35 Harun Shakava wa Gor Mahia  naye anapewa kadi ya Njano

Dakika ya 39 Tuyisenge na Paul Bukaba wanavimbiana uwanjani refa anajaribu kuwapatanisha

Dakika ya 44 Francis Kahata anachomoka katikati ya Mabeki na Kupiga Mpira Golini , Mpira Unapita nje ya goli

Gor Mahia 1 – 0 Simba (4′ Meddie Kagere)

HALF TIME

Gor Mahia 1 – 0 Simba

KIPINDI CHA PILI

Dakika ya 47

Gor Mahia 1 – 0 Simba

Dakika ya 54 Tuyisenge anaiandikia Gor Mahia bao la Pili

Gor Mahia 2 – 0 Simba

No comments:

Post a Comment