Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Mrithi wa Youthe Rostand Yanga huyu Hapa
Kuna Taarifa za Uhakika kuwa Yanga ipo katika mikakati ya Kutafuta Kipa Mwingine ndani ya Kikosi chao na ni lazima jambo hilo lifanyike kwaajili ya Msimu ujao.
Vipengele 15 Tuzo VPL
Yanga wanampango wa Kufanya Hivyo kutokana na Sababu mbili kwanza kutoridhishwa sana na uwezo wa Kipa wa sasa Youthe Rostand lakini pia majeraha ya mara kwa mara na malalamiko ya Beno Kakolanya ambaye pia anatajwa kuwa ataondoka mwisho wa Msimu na kujiunga Na JKT TANZANIA.
Kuna Taarifa kuwa kocha Mpya wa Yanga Mwinyi Zahera amependekeza jina la Kipa wa sasa wa timu ya Taifa ya Congo Vumi Ley Matampi asajiliwe Yanga.
Vumi Ley Matampi msomaji wa Kwataunit kwasasa anacheza kwenye timu ya Tp Mazembe na mkataba wake unaelekea kuisha na Kama Unamkumbuka ndiye kipa aliyekuwa golini Stars ikicheza na Congo.
Vumi Matampi ukiachana na Tp Mazembe amewahi pia Kuhudumi katika vilabu kama AS Vita ya Congo, DC Motema Pembe, Kabuscorp na Vilabu kadhaa
Tuma maoni yako sasa
prop
Wednesday, 23 May 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment