TUMUSIFU BWANA

prop

Wednesday 30 May 2018

SAMATTA , OMAR COLLEY NA WACHEZAJI HAWA WA ARSENAL NA MAN UNITED WAENDA HIJA MACCA

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
: Samatta na Omar Colley wameenda hija Macca



Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania anayecheza club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta wakati huu wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ameamua kwenda Saudi Arabia Macca kuhiji.



Mbwana Samatta kupitia ukurasa wake wa instagram akiwa na mchezaji mwenzake raia wa Gambia ambao wanacheza wote katika club ya KRC Genk Omar Colley wamepost picha wakiwa pamoja katika ibada ya umrah.


Omar Colley na Samatta

Kitendo hicho Samatta na Colley kwenda hija anaungana na mastaa wengine wa soka dunia ambao pia wamewahi kwenda Macca kuhiji na kufanya ibada ya umrah kama Mesut Ozil wa Arsenal na Paul Pogba wa Man United ambao nao ni waumini wa dini ya kiislam.

DOWNLOAD NYIMBO MPAYA HAPA LEO



Omar Colley na Samatta



Mesut Ozil


Paul Pogba


No comments:

Post a Comment