Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Baada ya kushumba katika mechi kadhaa kutokana na kutoka majeruhi nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayecheza soka la kulipwa katika club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta usiku wa May 27 2018 amerudi tena kwenye headlines.
Download wimbo mpya wa ambwene mwasongwe hapa
Mbwana Samatta amerudi kwenye headlines tena baada ya kuanza katika kikosi cha KRC Genk kilichokuwa kinacheza game za Play Off ya kuwania kupata tiketi ya kucheza michuano ya UEFA Europa League kwa msimu wa 2018/2019 wakicheza dhidi ya Zulte-Waregem.
Mchezo huo KRC Genk walicheza wakiwa nyumbani na kufanikiwa kupata ushindi wa magoli 2-0, Mbwana Samatta ndio alianza kuionesha Genk njia ya kueleka Europa League kwa kufunga goli la kwanza dakika ya 18 ya mchezo kabla ya Jere Uronen kufunga goli la pili dakika ya 28
Ushindi huo sasa ni wazi unaipeleka KRC Genk kushiriki michuano ya UEFA Europa League ambapo kwa msimu wa 2018/19 itashirikisha pia timu za Chelsea na Arsenal za England, hata hivyo hiyo itakuwa fursa kwa Mbwana Samatta kucheza tena michuano hiyo kwa mara ya pili baada ya kucheza kwa mara ya kwanza msimu wa 2016/2017.
prop
Sunday, 27 May 2018
SAMATTA AIPEREKA KRC GENK EUROPA LEAGUE UEFA BAADA YA MATOKEO HAYA
Recommended Articles
- Michezo
Julio: Alikiba Anaweza Kucheza hata Ulaya Jun 10, 2018
KOCHA wa Dodoma FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ameweka wazi kuwa msaÂnii wa Bongo Fleva nchini, Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’...
- Michezo
MAMBO MATANO MAKUBWA WALIO HAFIKIANA YANGA SC MKUTANO MKUUJun 10, 2018
Club ya Dar es Salaam Young Africans leo Jumapili ya June 10 2018 ilifanya mkutano mkuu na wanachama wake katika ukumbi wa Police Officers Mess M...
- Michezo
GOR MAHIA WAIPA KICHAPO SIMBA SC...SAFARI YA ULAYA NDO BASI TENAJun 10, 2018
Moja kati ya siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka Bongo ni leo June 10 2018, kwani ndio ilikuwa siku inayochezwa mchezo wa...
- Michezo
MATOKEO GOR MAHIA VS SIMBA SC 2_0 KIPINDI CHAPILIJun 10, 2018
Matokeo Gor Mahia vs Simba leo 10 June 2018 Sportpesa Matokeo Gor Mahia vs Simba leo 10 June 2018 Sportpesa Matokeo Gor Mahia vs Simba leo 10 Ju...
Newer Article
KURASA ZA MAGAZETI YA UDAKU ,MICHEZO NA BURUDANI JUMAA TATU YA MAY 28.2018
Older Article
PATA WIMBO WA AMBWENE MWASONGWE WEWE NI JIWE
Labels:
Michezo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment