Download video mpya diamondi
Moja kati ya wachezaji ambao wamemaliza mkataba ndani ya Klabu ya Simba ni Shiza Ramadhan Kichuya, Na Imekuwa Ikisemekana Kichuya anaweza asiendelee kucheza Simba endapo tu atapata dili la Kucheza Nje ya Nchi.
Download audio mpya ya aslya totoa
vilabu kadhaa vimekuwa vikitajwa kumshawishi Shiza Kichuya kujiunga na Timu zao, moja ya Klabu inayotajwa ni Yanga ambao nguvu yao kubwa inatajwa kuwa ni baba mzazi wa Kichuya kuwa shabiki wa Yanga.
Lakini timu nyingine inayotajwa ni Matajiri kutoka Chamazi Azam Fc, Taarifa zinasema Kocha mpya wa Azam Fc amewaambia viongozi wa Azam Fc kuwa anamwitaji kwa udi na Uvumba Shiza Kichuya.
Baada ya Viongozi wa Azam Fc kufanya mazungumzo na Kichuya Azam waliweka Dau la Milioni 70 ambazo Shiza Kichuya alizikataa akitaka dau liongezeke zaidi.
Hali ya Kichuya kukataa dau hilo liliwafanya Viongozi wa Azam Fc kuwa Wapole na Kusubiri Kichuya atakapoongea na Timu nyingine na Kusikiliza dau ambalo watakuwa tayari kutoa Ikiwepo na Klabu yake y
a sasa Simba.
Kwata unity source
No comments:
Post a Comment