TUMUSIFU BWANA

prop

Wednesday 25 April 2018

CHRISTIANO RONALDO AMTUMIA ZAWADI RASHFORD MAN UNITED HII

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.


Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno  anayecheza soka katika club ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo  ameonekana kukubali uwezo wa kinda wa Man United Marcus Rashford.

Ronaldo amedhihirisha hilo kwa kuamua kumtumia zawadi Marcus Rashford yenye ujumbe wa kumtia moyo aendelee kufanya kazi katika soka anayoendelea kuifanya.



Cristiano Ronaldo amemtumia Rashford  zawdi ya jezi namba 7 ya Real Madrid  ambayo huvaliwa na yeye mwenyewe Ronaldo na kuiandika “Keep up the good work” akiwa ma maana “endelea kufanya kazi nzuri”



Kama utakuwa unakumbuka vizuri kabla ya Ronaldo kujiunga na Real Madrid ya Hispania aliwahi kuichezea Man United  kuanzia 2003 hadi 2009 alipoamua kujiunga na Real Madrid lakini ameendelea kuwa mahusiano mazuri na viongozi ma wachezaji wa Man United.
 kua wa kwanza kupakua app yako ya kalambonews kwenyesimu yako leo 

No comments:

Post a Comment