TUMUSIFU BWANA

prop

Monday 23 April 2018

ANAYE TALAJIWA KUMULITHI LWANDAMINA HUYU APA

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Kocha anayetajwa Kutua Yanga Huyu Hapa

Kuna taarifa za Kuaminika Kuwa Yanga wamemleta Kocha mpya atakayekuwa mrithi wa George Lwandamina.

Kocha Huyo ni Mwinyi Zahera ambaye ni Mkongo na ndiye Kocha Msaaidizi wa timu ya Taifa ya Congo ile ambayo ilikuja Juzi kati kucheza na Taifa Stars mchezo wa Kirafiki.

Inadaiwa kocha huyo ametua kwa siri na Hii ni baada ya mazungumzo kati ya Yanga na Lwandamina kuonekana kutokwenda sawa, Yanga walimtaka Lwandamina arejee kuifundisha Yanga angalau mpaka mwisho wa Msimu lakini mambo yamekuwa magumu.

Hata Hivyo bado haijajulikana kama Kocha huyo ameshakubaliana na Yanga au ndiyo amekuja kwaajili ya Mazungumzo. msomaji wa Kwataunit.com Tuitaendelea Kukujuza

No comments:

Post a Comment