Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Matokeo Gor Mahia vs Simba leo 10 June 2018 Sportpesa
Matokeo Gor Mahia vs Simba leo 10 June 2018 Sportpesa
Matokeo Gor Mahia vs Simba leo 10 June 2018 Sportpesa Super Cup Nakuru katika uwanja wa Afraha
Magazeti ya Michezo 10 June 2018
Timu zipo uwanjani tayari kwa MCHEZO
Mechi imeanza katika uwanja wa Afraha, Gor Mahia vs Simba
Gor Mahia 0 – 0 Simba
Dakika ya 1 Anajaribu Adam Salamba Mpira unambabatiza Mlinzi wa Gor
Dakika ya 4 Meddie Kagere anaipatia Gor Mahia bao la kwanza
Gor Mahia 1 – 0 Simba
Dakika 10
Gor Mahia 1 – 0 Simba (4′ Meddie Kagere)
Dakika ya 20
Gor Mahia 1 – 0 Simba
Dakika ya 27 rasid Juma anajaribu shuti baada ya Kuwapindua Mabeki Kipa anadaka
Dakika ya 34 Erasto nyoni anapewa kadi ya njano kwa mchezo usio wa Kiungwana
Dakika ya 35 Harun Shakava wa Gor Mahia naye anapewa kadi ya Njano
Dakika ya 39 Tuyisenge na Paul Bukaba wanavimbiana uwanjani refa anajaribu kuwapatanisha
Dakika ya 44 Francis Kahata anachomoka katikati ya Mabeki na Kupiga Mpira Golini , Mpira Unapita nje ya goli
Gor Mahia 1 – 0 Simba (4′ Meddie Kagere)
HALF TIME
Gor Mahia 1 – 0 Simba
KIPINDI CHA PILI
Dakika ya 47
Gor Mahia 1 – 0 Simba
Dakika ya 54 Tuyisenge anaiandikia Gor Mahia bao la Pili
Gor Mahia 2 – 0 Simba
prop
Sunday, 10 June 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment