Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Vifahamu vyuo 20 vilivyofungiwa na NACTE na sababu za kufungiwa
Leo June 8, 2018 Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limefuta usajili wa vyuo 20 kwa kushindwa kufuata utaratibu wa usajili wa vyuo vya ufundi kwa sababu mbalimbali ikiwemo kushindwa kufuata utaratibu wa usajili wa vyuo vya ufundi na upungufu wa rasilimali za kufundishia
Pia Baraza limezuia vyuo 9 kudahili wanafunzi wapya kwa mwaka wa masomo 2018/19 na vyuo 3 vimesitishwa kutoa program zisizohidhinishwa na Baraza hilo.
Kaimu Katibu Mtendaji wa NACTE, Dr. Adolf Rutayuga amesema vyuo hivyo bado vina nafasi ya kuomba usajili upya endapo watarekebisha matatizo na utaratibu ukafuatwa.
“Matokeo ya uchunguzi uliofanywa kuanzia July 2017 mpaka September 2017 ambao ulihusisha vyuo 458 ambapo 112 vya ualimu na vingine 7 vilivyokutwa haviendelei na shughuli za elimu, vyuo 426 vimekidhi vigezo lakini vyuo 32 vimekutwa na mapungufu hivyo Baraza limechukua hatua mbalimbali kwa vyuo hivyo 32,” Dr Rutayunga
Toa maoni yako niya mhimu pia unaweza kumshirikisha mwenzio au jama yako sasa .
prop
Friday, 8 June 2018
HIVI APA VYUO 20 VILIVYOFUNGIWA NA NECTA NA SABABU ZA KUFUNGIWA
Recommended Articles
- Habari
LIVE: Abdul Nondo anazungumza na waandishi wa habariJun 10, 2018
BOFYA HAPA KUSIKIA MAONGEZO LIVE SASA
- Habari
HIVI APA VYUO 20 VILIVYOFUNGIWA NA NECTA NA SABABU ZA KUFUNGIWA Jun 08, 2018
Vifahamu vyuo 20 vilivyofungiwa na NACTE na sababu za kufungiwa Leo June 8, 2018 Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limefuta usajili...
- Habari
SHUHUDI LIVE MSANII ANAYE TAMBULISHWA NA DK . SHIKAJun 08, 2018
Dk. Shika akimtambulisha msanii wake Mzee maarufu mtandaoni, Dk. Shika ameamua kutumbukia kwenye kiwanda cha Bongo Flava. Leo amemtambulish...
- Habari
Walichoandika wolper,Snura Prof.Jay kuhusu kifo cha samu wa UkweliJun 06, 2018
Walichoandika Wolper, Snura na Prof. Jay kuhusu kifo cha Sam wa Ukweli Usiku wa June 6, 2018 Muimbaji Sam wa Ukweli amefariki dunia baada ya ...
Labels:
Habari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment