TUMUSIFU BWANA

prop

Wednesday, 9 May 2018

Lechantre; hawa wawili awata cheza michezo zidi ya singida united

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.

Lechantre ataja wachezaji wawili watakaokosekana mchezo dhidi ya Singida United

Simba leo wanaanza safari yao kutoka Dar kuelekea Singida kwaajili ya mchezo kati yao dhidi ya Singida United siku ya Jumapili katika Uwanja wa Namfua.

Kuelekea pambano hilo Kocha Pierre Lechantre alisema kuelekea mchezo huo wanaweza wakawakosa wachezaji wawili kutokana na kutokuwa vizuri kiafya.



” Ninawachezaji wawili hawako vizuri Kotei Hayuko vizuri na Kwasi pia anasumbuliwa na Homa, unajua wamecheza mechi nyingi baadhi ya wachezaji wamecheza mechi 7 kwa siku 40 ni ngumu na hatukupata muda wa Kupumzika. “

No comments:

Post a Comment