TUMUSIFU BWANA

prop

Saturday 5 May 2018

TIMU YA USM ALGER IKITWA UBIGWA KABLA YA KUWAVAA DR YOUNG AFRICA LEO

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Timu ya vijana waliyo na umri chini ya miaka 19 (U19) ya USM Alger imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Algeria baada ya kuibuka na ushindi wa jumla ya mabao 4 – 3 dhidi ya klabu ya ES Setif.




Kwenye mchezo huo wa fainali timu ya USM Alger imeibuka na ushindi huo mbele ya timu ya ES Setif baada ya kumalizika dakika 90 kwa sare ya bao 1 -1 na ndipo kuamuliwa kwa njia ya matuta.



Tuma maombi yako ukiitakia heri Yanga mchezo wao leo utakao pigwa SAA 10:00 za usiku Kwa SAA za afrika mashari .

No comments:

Post a Comment