TUMUSIFU BWANA

prop

Wednesday 30 May 2018

HIAPA RATIBA NZIMA YA SUPERCUP JUNE 3 2018

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Ratiba kombe la Sportpesa Super Cup 2018
Tetesi za soka ulaya jumatano 30.2018
SportPesa Super Cup 2018 Kwa Mwaka Huu itashirikisha timu 8, 4 kutoka Tanzania na 4 kutoka Nchi mwenyeji Kenya.

Yanga atafungua michuano June 3 kwa kucheza na Homeboys huku akifabikiwa kushinda atacheza nusu fainali na mshindi kati ya Gor Mahia na JKU.

Simba na Azam zamnyemelea mchezaji huyu wa Yanga
Upande wa Simba yeye ataanza mchezo wake wa Kwanza June 4 kwa Kucheza na K Sharks na Simba akifuzu atakutana na Mshindi kati ya AFC Lepards na Singida United.



Bingwa wa Sportpesa Supercup ataenda nchini Uingereza kucheza mechi dhidi ya Everton ambao mwaka jana walitua nchini Tanzania kucheza na Bingwa wa mwaka jana timu ya Gormahia kutoka Kenya

No comments:

Post a Comment