TUMUSIFU BWANA

prop

Tuesday, 22 May 2018

BaBa yake kichuya afunguka ishu ya kusain Yanga kichuya

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Ishu ya Baba Kichuya kumshawishi Kichuya kwenda Yanga mwenyewe afunguka haya

Mkataba wa Shiza Kichuya unaelekea Kumalizika mwishoni mwa Msimu na Kumekuwa na tetesi nyingi zikimhusisha Shiza Ramadhan Kichuya.

Kuna tetesi  msomaji wa Kwataunit kuwa Shiza Kichuya Anatakiwa na Tp Mazembe ya Congo wakati baadhi ya Taarifa zikidai kwakuwa baba yake na Shiza Mzee Ramadhan Kichuya kwakuwa ni mpenzi wa Yanga anamshawishi mwanaye aende Yanga baada ya Mkataba wake kumalizika.

Mzee Kichuya mwenyewe amefunguka kuwa hizo Taarifa siyo kweli.

” Timu yoyote itakayofika bei yeye asaini tofauti na watu wanavyosema eti mimi namshawishi aende Yanga hizi Taarifa siyo za Kweli “

No comments:

Post a Comment