Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Dk 90 zimeongezwa dakika +3
Dk 81 Wachezaji wa Wolaitta wanaonekana kukata tamaa
Dk 78 Wanashambuliana kwa kasi, Yanga wanaonekana kuongeza nguvu za mashambulizi
Dk 71 Mchezaji wa Yanga yupo chini
Dk 69 Yanga wanashambulia na kufanyiwa rafu nyingi refa anasema mpira uendelee
Dk ya 65 Yanga wanapata kona
Dk ya 64: Mashabiki wenyeji wanaongeza presha kwa Yanga kwa kushangilia muda mwingi.
Dk 63 Yanga wanashambukia kwa kasi sana
Dk 62 Wolaitta Dicha wanapiga kona kipa wa Yanga Youthe Rostand anaokoa
DK 58 Wolaitta Dicha wanakosa bao la wazi, mpira unatoka juu ya gori
DK 55 Wolaitta Dicha wanashambulia na Kipa wa Yanga Youthe Rostand anaokoa
Dk ya 52: Mchezo unaanza kuwa mkali.
DK 51 Yanga wanafanya mabadiliko anatoka Kamusoko ameingia Said Makapu
DK 48 Kipindi cha pili kimeanza kwa kasi Yanga wanashambulia kwa kasi
HT: Wolaitta Dicha 1-0 Yanga SC
Dk ya 38: Tshishimbi anakosa nafasi ya wazi shuti lake linapaa juu ya lango.
Dk 33 Yanga wanashambulia kwa kasi, bao Yanga wapo nyuma kwa bao 1-0
Dk 29 Wolaitta Dicha wanakosa bao la wazi, mabeki wa Yanga wanajichanganya
Dk 27 Yanga wanapifa faulo kilometa chache kuelekea kwenye lanngo la Wolaitta Dicha
Dk 22 Bado timu ya Yanga ipo nyuma, Yanga wanashambuliwa sana na wanafanya kazi ya ziada ya kuoko
DK 11 Yanga wanakosa bao la wazi Yussuf Mhilu, kipa anapangua
Dk ya 10 Yanga wanashambuliwa kwa kasi sana kipa wa yanga anafanya kazi ya ziada kuokoa
Timu zote zinashambuliana kwa zamu, mchezo una kasi
Wolaitta Dicha 1-0 wamepata bao dakika ya pili
Yanga wanaruhusu bao baada ya mpira wa kona kuwapita walinzi kabla ya kujaa wavuni.
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Dk ya 1. Dicha wanapata kona.
Bofya hapa kulitazama goli walilo funga dicha
Mchezo unaanza kwa kasi.
Katika mechi ya kwanza jijini Dar es Salaam, Yanga ilishinda mabao 2-0 hivyo kujiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele katika michuano hiyo iliyo chini ya Shirikisho la Soka Afrika (Caf).
prop
Wednesday, 18 April 2018
YANGA YA SONGA MBELE KWA KUITOA DICHA MAGORI YA 2_1
Recommended Articles
- Michezo
Julio: Alikiba Anaweza Kucheza hata Ulaya Jun 10, 2018
KOCHA wa Dodoma FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ameweka wazi kuwa msaÂnii wa Bongo Fleva nchini, Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’...
- Michezo
MAMBO MATANO MAKUBWA WALIO HAFIKIANA YANGA SC MKUTANO MKUUJun 10, 2018
Club ya Dar es Salaam Young Africans leo Jumapili ya June 10 2018 ilifanya mkutano mkuu na wanachama wake katika ukumbi wa Police Officers Mess M...
- Michezo
GOR MAHIA WAIPA KICHAPO SIMBA SC...SAFARI YA ULAYA NDO BASI TENAJun 10, 2018
Moja kati ya siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka Bongo ni leo June 10 2018, kwani ndio ilikuwa siku inayochezwa mchezo wa...
- Michezo
MATOKEO GOR MAHIA VS SIMBA SC 2_0 KIPINDI CHAPILIJun 10, 2018
Matokeo Gor Mahia vs Simba leo 10 June 2018 Sportpesa Matokeo Gor Mahia vs Simba leo 10 June 2018 Sportpesa Matokeo Gor Mahia vs Simba leo 10 Ju...
Newer Article
SABABU YA NYONZIMA KUTO CHEZA MECHI YATAJWA
Older Article
Matokeo ya Dicha vs Yanga sc haya hapa adi sasa 1_0
Labels:
Michezo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment