TUMUSIFU BWANA

prop

Saturday, 28 April 2018

BOFYA KUTAZAMA MECHI LIVE NA MATOKEO KAMILI SIMBA SC VS YANGA SC 1_0 KILA DAKIKA 20

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
<<<<<Bofya hapa kutazama mechi live >>>>


Hiki Hapa kikosi cha Simba dhidi ya Yanga leo 29 April 2018, mechi Ikichezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam kuanzia saa kumi kamili.
 
Aishi ManulaNicolas GyanAsante KwasiYusuph MlipiliErasto NyoniJonas MkudeJames KoteiShomari KapombeJohn BoccoEmmanuel OkwiShiza Kichuya 
Wachezaji wa Akiba
1.Said Nduda 2.Hussein Zimbwe3.Juma Luizio
4.Ndemla
5.Mavugo
6.Mzamiru
7.Bukaba

Kikosi cha Yanga kinachoweza Kuanza dhidi ya Simba leo  29 APRIL 2018

Kutokana na hali ya Majeruhi  ndani ya Kikosi cha Yanga na uwezo wa kucheza kwa wachezaji  siku za Karibuni Kikosi cha Yanga kinaweza Kuwa hivi.

Golini Uzoefu lakini Ubora licha ya kuwa na Makosa madogo madogo Youthe Rostand bado ananafasi ya Kuanza katika kikosi cha Yanga katika mchezo wa leo.

Mabeki wa Pembeni : Kumekuwa na Changamoto kwa wachezaji wa Pembeni kwa siku za Karibuni huku kila mmoja akiwa na faida na hasara zake, Kulia Juma Abdul anauwezo mkubwa wa Kumimina majalo lakini Hassan Kessy anauwezo Mkubwa wa kukaba na kuanzisha mashambulizi.

Nafasi hii msomaji wa Kwataunit.com  inachangamoto lakini Hassan Kessy anaweza kuanza leo kutokana na morali ambayo atakuwa nayo kwani wengi tunajua alivyoondoka Simba atataka kuwaonyesha kuwa yeye ni Mwamba, Kushoto Gadiel Michael ananafasi ya Kuanza leo.

Mabeki wa Kati : Kama Kelvin Yondani na Andrew Vincent watakuwa wamepona vilivyo basi ni wazi leo wanaweza kuanza pamoja kama mabeki wa Kati.

Kwanini siyo Abdallah Shaibu?

Abdallah Shaibu anaweza Kuanza endapo tu mmoja kati ya Yondani au Dante watakuwa hawako fiti asilimia mia, Yondani na Dante wamecheza mechi nyingi pamoja na kwa kiasi kikubwa wanaelewana.

Lakini pia uzoefu wa Kucheza mechi kubwa na zenye pressure kama hizi Dante na Yondani wamecheza pamoja mechi kadhaa.

Lakini pia Kocha anaweza kujitoa Ufahamu na Kumwamini Ninja na Kuamua kumuanzisha na mmoja kati ya Yondani au Dante.

Mabeki wa Kati : Said Juma Makapu ambaye anauwezo wa kukaba na kusaidia eneo la nyuma anaweza kuanza akisaidiana na Papy Tshishimbi AU Kamusoko akaanza na Tshishimbi eneo la Kati.

Au Option Nyingine ambayo imekuwa Ikitumika kwa siku za Karibuni kikosi cha Yanga kwenye mechi za Welayta Dicha kumtumia Tshishimbi kama namba 6 na Pius Buswita kama namba 8.



Winga : Pembeni Kulia hakuna ubishi kuwa Yusuph Mhilu ambaye ni moja ya Jicho la Yanga ataanza na Namba 11 Ibrahim Ajib ambaye amekuwa mzuri akitokea Pembeni.

Washambuliaji : Kwasiku za Karibuni Raphael Daud amekuwa akicheza kama namba 10 akisaidiana na Obrey Chhap

a.

Kikosi cha Simba kinachoweza Kuanza dhidi ya Yanga leo 29 April 2018

Kutokana na Kikosi kwa siku ya Karibuni, Mfumo, Wachezaji waliotrain mazoezini na uwezo wa wachezaji mazoezini na siku za Karibuni Hiki ndicho Kikosi cha Simba kinachoweza kuanza dhidi ya Yanga leo April 29, 2018

>> Soma habari za Michezo hap

Golini : Hakuna hata punje ya Shaka kuwa nafasi ya kipa kwa leo ji ya Aishi Manula, Uwezo wake wa Kuokoa hatari langoni mwake kunanifanya niendelee kuamini kuwa ataanza katika mchezo wa Leo.

Mabeki wa 3 Kwenye mfumo wa 3,5,2 : Kutokana na Mfumo wa Simba kuwa ni 3,5,2 Mabeki 3 wanaoweza kuanza kwenye mfumo huo wanaweza kuanza Juuko Murshid, Erasto nyoni na Yusuph Mlipili.

Wachezaji watano kwenye Mfumo wa 3,5,2 : Hapa Wanaweza kucheza Nicolas Gyan, Asante Kwasi wakicheza kama namba 2 na 3 timu inaposhambuliwa lakini wakionekana kusogea mbele zaidi timu inaposhambulia.

Wachezaji wengine ambao wanaweza kuanza kwenye eneo la Kati ya Uwanja msomaji wa Kwataunit.com ni Jonas Mkude , Shomari Kapombe na Shiza Kichuya wakicheza kama Viungo wa kati na Kukamilisha wachezaji watano kwenye mfumo wa 3,5, 2.

Washambuliaji wawili :



Katika eneo la Ushambuliaji klabu ya Simba kumekuwa na washambuliaji Pacha wanaoobnekana kuelewana na Kupendana hata wanapokuwa mazoezini, John Bocco na Emmanuel Okwi hawa wananafasi kubwa ya Kuanza leo.

No comments:

Post a Comment