TUMUSIFU BWANA

prop

Saturday, 28 April 2018

HAJI MANARA AWACHOKONOA YANGA LEO JUMAPILI

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.

Haji Manara awachokonoa Yanga kuelekea pambano la Le

Haji Manara awachokonoa Yanga kuelekea pambano la Leo

Kuelekea pambano la watani wa jadi Simba vs Yanga April 29 2018 katika uwanja wa Taifa, Haji Manara kama kawaida yake jana alipost Picha hiyo hapo chini.

Picha hiyo inaonyesha mtu wa simba akimuuliza mshabiki wa Yanga anayeonekana kuwa kitandani kama Mgonjwa, Mshabiki wa Simba anamuuliza wa Yanga kesho Utaamka Kweli?



Shabiki wa Yanga akajibu, Nitaamka lakini Nikisikia Kichuya nitazima Tena.

Baada ya picha Hiyo  msomaji wa kwataunit Manara akaanika Ujumbe Huu hapa Chini.

” Usiku wa deni haukawii……
Mwana kulitaka..mwana kulipewa..
Tuombe uhai na uzima InshaAllah 🙏🙏 “

No comments:

Post a Comment