TUMUSIFU BWANA

prop

Sunday 25 March 2018

Waziri mkuu kukagua mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira ruangwa lindi

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Ruangwa Mkoa wa Lindi (DED) Bwana Andrea Chezue wakati akiangalia mchoro wa Uwanja wa Michezo wa kisasa Wilaya ya Ruangwa. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment