TUMUSIFU BWANA

prop

Sunday, 25 March 2018

Faith fighter kwaya TAZAMA BWANA

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Faith fighter kwaya ni kwaya ya mungano wa wanafunzi kasfeta shule ya secondari mwakaleli iliyopo tukuyu mbeya.albamu yao inaitwa Nani kama wewe yenye jumula ya nyimbo nane usikose kuipata albamu iyo Leo kuzipata nyimbo au CD zetu wasiliana nasi kupitia email Yetu apo chini .install kalambonews Leo kupata habari zote Leo hii.

No comments:

Post a Comment