TUMUSIFU BWANA

prop

Monday 26 March 2018

Mwandishi wa habari Anna mollel afariki dunia

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
MWANDISHI wa habari wa siku nyingi, Nana Steven Mollel amefariki dunia leo jioni Jumatatu, Machi 2018 akiwa Hospitali mkoani Arusha baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Nana aliwahi kufanya kazi katika kituo cha Televisheni cha ITV na Radio One cha jijini Dar es Salaam akiwa mtangazaji wa vituo hivyo kabla ya kuondoka na kwenda Karatu kufanya shughuli zake zingine.

Taarifa zaidi za msiba huo tutakueleta baadaye.

No comments:

Post a Comment