TUMUSIFU BWANA

prop

Monday 26 March 2018

Mama na mtoto wafariki kwaajari ya moto kenya

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Polisi katika eneo la Siaya nchini Kenya  wanafanya uchunguzi kuhusu kifo cha mama na mwanaye ambao kwa pamoja wameungua na moto usiku wa jana March 25, 2018.

Inaelezwa kuwa binti huyo Beryl Aluoch  na mwanaye wa miaka miwili Eden Wanjiku waliungua kwa kiwango cha kutotambulika kabisa, baada ya nyumba yao kuwashwa moto.

Afisa wa Polisi Marcelus Murumba ameeleza kuwa moto huo uligundulika katikati ya usiku baada ya mama mzazi wa Beryl kusikia mwanaye akilia kuomba msaada, pindi akiwa kwenye nyumba ya pembeni ya nyumba hiyo iliyoungua moto.

No comments:

Post a Comment