Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, leo March 25, 2018 wameshiriki ibada ya Jumapili ya Matawi kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Azania Front Posta ya zamani jijini Dar es salaam.
prop
Sunday, 25 March 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment