>>>Soma kurasa za magazeti ya leo hapa <<<
Phil Jones (juu) na Nahodha Jordan Henderson (kulia) akimpongeza mchezaji mwenzao, Marcus Rashford baada ya kuifungia England bao zuri la kwanza dakika ya 13 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Costa Rica jana Uwanja wa Elland Road mjini Leeds, West Yorkshire kujiandaa na Kombe la Dunia. Bao la pili lilifungwa na Danny Welbeck dakika ya 76
Soma kurasa za magazeti ya leo
No comments:
Post a Comment