Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.
Huu ndio msimamo wa TFF timu gani itakaoiwakilisha Tanzania Kombe la CAF
Kwa mara ya kwanza katika historia June 2 2018 ndio tutaona mchezo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Azam Sports Federation Cup fainali kwa pasipokuzikutanisha moja kati ya Simba na Yanga huu ukiwa ni msimu wake wa tatu.
Soma hapa kurasa za magazeti udaku na michezo leo
Kesho June 2 mchezo huo utachezwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha kwa kuzikutanusha timu Singida United dhidi ya Mtibwa Sugar, mvuto wa mchezo wa fainali hii hautokani na zawadi ya Bingwa kupewa Tsh milioni 50 bali kupata tiketi ya kucheza michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika msimu wa 2018/2019.
Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidao leo amejibu swali kuhusiana na kudaiwa kuwa Mtibwa Sugara hata akishinda hatoshiriki michuano hiyo kutokana na kufungiwa, Kidao ameeleza kuwa mshindi wa game hiyo ndio atakayeshiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika na sio vinginevyo.
prop
Friday, 1 June 2018
' HIAPA TIMU ITAKAYO WAKILISHA TANZANIA KOMBE LA CAF ' TFF WATOA MSIMAMO HUU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment