TUMUSIFU BWANA

prop

Monday 28 May 2018

TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA JUMATATU YA 28.2018

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.


Manchester City wanamtaka Kylian Mbappe ikiwa Paris St-Germain watashindwa kumchukua
Manchester City iko tayari kukamilisha mipango ya Kylian Mbappe ikiwa vikwazo vya kifedha vya fair play vitawalazimisha Paris St-Germain kuacha mpango wao kukamilisha mkataba na mshambuliaji huyo Mfaransa mwenye umri wa 19, ambaye alichukua mkopo kutoka Monaco mwaka mmoja uliopita . (Manchester Evening News)
RB LeipzigWako tayari kumchukua winga wa Everton Ademola Lookman baada ya kijana huyo mwenye umri wa miaka 20-kufanikiwa kumaliza deni lake nchini Ujerumani . (Liverpool Echo)
Mchezaji wa safu ya ulinzi wa timu ya Freiburg Caglar Soyuncu, mwenye umri wa miaka 22, anasisitiza kuwa hana mkataba kwa sasa na Arsenal lakini mchezaji huyo wa kimataifa wa Uturuki anataka kufanya mazungumzo naklabu hiyo. (Goal)


MATOKEO YA MAJIMAJI VS SIMBA HAYA APA
Mchezaji wa kiungo cha kati wa Manchester United Paul Pogba amedai kurejea Juventus
Fulham ambao walipandishwa daraja wanasemekana wanataka kumchukua mchezaji wa kiungo cha kati wa timu ya Auxerre Lamine Fomba. (L'Equipe - in French)
Chelsea huenda wakahitaji kuongeza mara dufu pesa kiasi cha Euro £3.5m ikiwa wanamtaka Maurizio Sarri, ambaye aliondoka Napoli Jumatano iliyopita,kuchukua nafasi ya Antonio Conte kama kocha. (Corriere dello Serra via Sun)
Mchezaji wa kiungo cha kati wa The Blues mwenye umri wa miaka 27 Mfaransa N'Golo Kante, ambaye amekuwa akipigiwa upatu kuhamia na Paris St-Germain, anasema kwamba huku akipenda kuishi mjini London, moyo wake utasalia Paris. (Star)
BBC :sources

No comments:

Post a Comment