TUMUSIFU BWANA

prop

Wednesday 2 May 2018

Haji manara afunguka ya moyoni kuhusu mkude

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kudownload APP YETU BOFYA HAPA, Au ingia playstore tafuta KALAMBO NEWS kisha bofya install.


Haji Manara atoa ya moyoni kuhusu kiwango cha Jonas Mkude

Ikiwa ni siku kadhaa tu toka Jonas Mkude aonyeshe uwezo wa Hali ya Juu kwenye mechi ya watani wa Jadi Simba Na Yanga, Kiasi cha kuwa mchezaji bora wa mchezo upande wa Simba Haji Manara naye ametoa ya Moyoni kuhusu kiwango cha Kiungo huyo.

Akitumia ukurasa wake wa Instagram Haji Manara ameandika Ujumbe Huu.

” Leo nimekaa nikajiuliza swali moja gumu,kisha nikakosa majibu…hv nchi hii haimuoni @jonasmkude20 ? tatizo ni nn au hilo jina Mkude limekaa kiluguru sana au kwa kuwa hachani nywele ?huyu jamaa amezaliwa midfielder na kwa sasa hakuna mbadala wake kwenye nchi hii ya JPM…pls tuwe serious jamani na vipawa vya watu 🙏🙏 “

No comments:

Post a Comment